TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM ( UVCCM) MAKAO MAKUU DAR ES SAALAM
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM ( UVCCM) MAKAO MAKUU DAR ES SAALAM KWA VYOMBO VYA HABARI JUMAPILI 30 AUGUST 2015. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Agosti 29 kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo viongozi kadhaa wa Chama hicho wakiwemo na waliokuwa Mawaziri waandamizi katika Setikali ya CCM, Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Ufisadi, Edward Lowassa pamoja na aliyekuwa Waziri wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao
Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.
Na Hillary Shoo, MKALAMA.
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.
Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...
9 years ago
MichuziBaraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) lamvua ukamanda Kinguge Ngombale Mwiru
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-
1. Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana na tabia na mwenendo wake wa hivi karibuni kuenda tofauti na maadili na taratibu za CCM.
Aidha kikao kimetoa mapendekezo kwa vikao vya Chama Cha Mapinduzi kuuangangalia upya uanachama wake na...
9 years ago
Dewji Blog17 Aug
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) lampa ‘Mkono wa kwaheri’ Kingunge Ngombale Mwiru
Pichani ni picha ya Maktaba: Kingunge Ngombale Mwilu (kushoto) ambaye alikuwa Kamanda wa UVCCM Taifa mapema Agosti 16, amevuliwa nafasi hiyo na uongozi wa UVCCM Taifa kufuatia kikao chao kilichokaa jijini Dar es Salaam.
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-
1.Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana...
9 years ago
VijimamboBENDERA YA PALESTINA KUPEPERUSHWA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA
9 years ago
MichuziPALESTINA KUPEPESHA BENDERA YAKE MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA
Bendera ya Palestine itapepea nje ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, hii inafuatia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kupitisha azimio ambalo linatoa fursa kwa nchi ambazo si mwanachama kamili wa Umoja huo kupeperusha bendera yake Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Ubao wa Matangazo ndani ya Ukumbi Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ukionyesha matokeo ya kura katika tukio la kihistoria kufanyika ambapo Baraza hilo limepitisha azimio linalotoa fursa kwa Palestina kupeperusha...
5 years ago
MichuziMAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA UMOJA POSTA AFRIKA JIJINI ARUSHA.
Na:Vero Ignatus-Arusha.
Zaidi ya shilingi bilioni 38 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kisasa lenye jumla ya ghorofa 17 ambalo linajengwa kwa ubia Kati ya Umoja wa Post Afrika (PAPU) na serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya mawasiliano Nchini (TCRA).
Ni miezi sita sasa tangu kuzinduliwa shughuki za ujenzi kwa kuwekewa jiwe la msingi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano mnamo januari 18 mwaka 2020 zoezi lililo ongozwa Mhandisi Isack Kamwelwe alie ambatana na viongozi...
9 years ago
MichuziJK AHUTUBIA BARAZA LA VIJANA WA CCM (UVCCM) JIJINI DAR.
Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Wajumbe wa Baraza la Vijana wakiwa kwenye hamasa ya hali ya juu.
Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Katibu wa...
9 years ago
CCM Blog9 years ago
GPLJK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MAKAO MAKUU YA CCM OFISI NDOGO LUMUMBA