Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALLY TIMBULO ATISHIWA KUUAWA

HII ni kali lakini haikuwahi kuandikwa, staa wa Bongo Fleva, Ally Timbulo alinusurika kuuawa baada ya kubainika kuwa anatembea na mke wa mtu na mumewe kumsaka kwa udi na uvumba akiwa na bastola mkononi. Staa wa Bongo Fleva, Ally Timbulo Akitema cheche na Untold, Timbulo alisema, katika maisha yake hakuwahi kufikiria kutoka kimapenzi na mtu ambaye yupo kwenye ndoa, isipokuwa mwanadada huyo ambaye anafanya kazi serikalini (jina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WASTARA ATISHIWA KUUAWA!

Hamida Hassan Hatari! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadai kutishiwa maisha kwa kutumiwa  ujumbe wa WhatsApp na ustaadhi ambaye aliwahi kutangaza kutaka kumuoa, jambo lililosababisha staa huyo kuamua kumfungulia mashtaka. Staa wa sinema za Kibongo, Wastara. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Wastara alifunguka kuwa kutokana na vitisho anavyotumiwa na ustadhi, hivyo akitua Dar kutoka mikoani atakwenda...

 

11 years ago

GPL

HOYCE TEMU ATISHIWA KUUAWA

Stori: Haruni Sanchawa MMOJA wa wajomba wa Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu, Jacob Temu amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumtishia maisha mlimbwende huyo. Tukio la kukamatwa kwa Jacob lilikuja baada ya kutishia kumuua kwa maneno Hoyce pamoja na shangazi yake ambaye ni Hilda Temu, katika mabishano ya wanaukoo juu ya sehemu ya kumzika ndugu yao, marehemu Emmanuel Nambuo Temu (33). Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu. Hoyce aliliambia...

 

11 years ago

GPL

VIDEO QUEEN WA LINEX ATISHIWA KUUAWA, KISA KUZAA NA MPENZI WA MTU

Stori: Hamida Hassan
Video Queen wa mwanamuziki Sunday Mangu ‘Linex’ aliyeng’arisha Wimbo wa Ifola, Janeth Bundala amedai kutishiwa maisha na mfanyabiashara mmoja aliyemtaja kwa jina la Johari Ali, kisa kikiwa ni kuzaa na aliyekuwa mpenzi wake. Akizungumza na Ijumaa katika ofisi za gazeti hili, Janeth alisema mama huyo ambaye anamheshimu sana hakutarajia kama angeweza kumtishia maisha wakati mwanaume...

 

11 years ago

GPL

TIMBULO NA PENZI LA SKAINA

Stori: Mayasa Mariwata
CHIPUKIZI wa Bongo Fleva, Ally Timbulo amefunguka kuwa alimwagana na mwigizaji Skyner Ally ‘Skaina’ kwani aligundua kuwa ana uhusiano na Mbongo Fleva mwenzake, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. ‘Akikonfesi’ mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda, Timbulo alisema ishu hiyo ilitokea miaka kadhaa iliyopita ambapo ‘alimsarendia’ mlimbwende huyo ili awe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Timbulo: ‘Niende Zangu’ hisia za kweli

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ally Timbulo ‘Timbulo’, amesema wimbo wake aliousambaza hivi karibuni unaokwenda kwa jina la ‘Niende Zangu’, unaelezea historia ya kweli na kwamba ndiyo mwisho...

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Timbulo — Nakumiss Miss

Msanii Timbulo ameachia rasmi video yake mpya ‘Nakumiss Miss’ ambayo imeongozwa na director Pablo. Hii ni video ya pili kutolewa na msanii nhuyo kwa mwaka huu, baada ya ‘Niende Zangu aliyomshirikisha Rich Mavoko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aliyemponda Diamond atishiwa maisha

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Masige Bukori ‘Cado Baro’, amesema anazidi kutishiwa maisha kwa kupigiwa simu mara kwa mara, zikimtaka asiende kwenye ukumbi wowote kutumbuiza nyimbo zake. Akizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Atishiwa maisha kwa kutaka ubunge

MFANYABIASHARA wa Kahama mjini, Shilinde Samandito, amedai kupatiwa vitisho mbalimbali vya maisha pamoja na biashara yake baada ya kutangaza nia ya kuwania ubunge katika Jimbo la Kahama. Akizungumza kwenye mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani