Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMBULO NA PENZI LA SKAINA

Stori: Mayasa Mariwata
CHIPUKIZI wa Bongo Fleva, Ally Timbulo amefunguka kuwa alimwagana na mwigizaji Skyner Ally ‘Skaina’ kwani aligundua kuwa ana uhusiano na Mbongo Fleva mwenzake, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. ‘Akikonfesi’ mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda, Timbulo alisema ishu hiyo ilitokea miaka kadhaa iliyopita ambapo ‘alimsarendia’ mlimbwende huyo ili awe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALLY TIMBULO ATISHIWA KUUAWA

HII ni kali lakini haikuwahi kuandikwa, staa wa Bongo Fleva, Ally Timbulo alinusurika kuuawa baada ya kubainika kuwa anatembea na mke wa mtu na mumewe kumsaka kwa udi na uvumba akiwa na bastola mkononi. Staa wa Bongo Fleva, Ally Timbulo Akitema cheche na Untold, Timbulo alisema, katika maisha yake hakuwahi kufikiria kutoka kimapenzi na mtu ambaye yupo kwenye ndoa, isipokuwa mwanadada huyo ambaye anafanya kazi serikalini (jina...

 

9 years ago

GPL

RAYUU,SKAINA WAFANYA UCHAFU

Mayasa mariwata SMATAA wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ pamoja na Skyner Ally ‘Skaina’ wanadaiwa kufanya uchafu baada ya picha za wawili hao wakionesha mahaba hadharani kusambaa. Staa wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’. Chanzo kinaanika kuwa wawili hao hivi karibuni walikutana katika Ukumbi wa KD, Kijitonyama ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa kwa Rayuu huku wakionesha mahaba ya mtu na mpenzi wake ndipo...

 

10 years ago

GPL

NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO WA SKAINA!

Stori: Gladness Mallya
Mambo hadharani! Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na kukiri kwamba ni wa kwake. Mtoto wa staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ wa miaka miwili na nusu anayejulikana kwa jina la Munie. Akizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Timbulo: ‘Niende Zangu’ hisia za kweli

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ally Timbulo ‘Timbulo’, amesema wimbo wake aliousambaza hivi karibuni unaokwenda kwa jina la ‘Niende Zangu’, unaelezea historia ya kweli na kwamba ndiyo mwisho...

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Timbulo — Nakumiss Miss

Msanii Timbulo ameachia rasmi video yake mpya ‘Nakumiss Miss’ ambayo imeongozwa na director Pablo. Hii ni video ya pili kutolewa na msanii nhuyo kwa mwaka huu, baada ya ‘Niende Zangu aliyomshirikisha Rich Mavoko.

 

10 years ago

GPL

SKAINA: WAOMBA RUSHWA YA NGONO WAMENIKATISHA TAMAA!

BRIGHTON MASALU SKYNER Ally ‘Skaina’ amekiri kukutana na changamoto ya kuombwa rushwa ya ngono na baadhi ya wazalishaji wa filamu (producers), ili aweze kuonekana kwenye filamu mbalimbali, jambo ambalo anakiri kumkatisha tamaa katika safari yake ya kufika mbali kisanii. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1KWNriy

 

11 years ago

GPL

KUMBE NAY WA MITEGO NDIYE ALIYEUNJA NDOA YA SKAINA!

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
SASA hakuna ubishi kuwa, ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva, Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’. Nay wa Mitego 'True Boy'. Habari za awali zilisema kuwa, ndoa ya Skaina iliingia mdudu baada ya mumewe kugundua kuwa alinunua ‘mbuzi...

 

11 years ago

GPL

KISA PENZI LA BURE

Stori:Denis Mtima na Gabriel Ng’osha Shabaash! Jamaa ambaye jina halikupatikana aliyedai kuwa ni mume wa mtu, ameonja joto ya jiwe baada ya kujikuta akikunjwa na mwanamke kisa penzi la bure alilopewa akashindwa kulilipia. Jamaa anayedaiwa kuwa mume wa mtu akiwa amekunjana na mwanamke baada ya kupewa penzi na kukataa kulipa. Wakiwa kwenye ‘patroo’ zao za kufichua uovu, makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani