Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISA PENZI LA BURE

Stori:Denis Mtima na Gabriel Ng’osha Shabaash! Jamaa ambaye jina halikupatikana aliyedai kuwa ni mume wa mtu, ameonja joto ya jiwe baada ya kujikuta akikunjwa na mwanamke kisa penzi la bure alilopewa akashindwa kulilipia. Jamaa anayedaiwa kuwa mume wa mtu akiwa amekunjana na mwanamke baada ya kupewa penzi na kukataa kulipa. Wakiwa kwenye ‘patroo’ zao za kufichua uovu, makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

Stori: Gladness Mallya
Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein. Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani. Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na...

 

10 years ago

Vijimambo

MREMBO AFUKUZWA KWAO, KISA PENZI LA MGANGA

Ulozi? Mrembo aliyejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23), anadaiwa kufukuzwa nyumbani kwao kufuatia kuchanganywa na penzi la mganga wa kienyeji ambaye pia ni ustadhi aliyejulikana kwa jina moja la Zein.Mrembo anayejulikana kwa jina la Shaharzad Hassan Othman (23) anayedaiwa kufukuzwa nyumbani.Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kutimuliwa kwao, binti huyo ambaye alikuwa akiishi na wazazi wake walezi maeneo ya Kariakoo jijini Dar alisimulia kwamba alifukuzwa kwao kwa sababu...

 

9 years ago

GPL

MEMPHIS AMKASIRISHA CHRIS BROWN, KISA PENZI LA KARRUECHE

Karrueche Tran na Memphis Depay wakiwa matembezini. Manchester, England
SIKU chache baada ya picha za mwanamitindo wa Marekani, Karrueche Tran na winga wa Manchester United, Memphis Depay kusambazwa wakiwa pamoja jijini Manchester wakifanya ‘shopping’, imebainika kuwa mpenzi wa zamani wa mrembo huyo, Chris Brown amechukizwa na kitendo hicho. Hii ni mara ya pili kwa Memphis na Karrueche kunaswa wakiwa pamoja ambapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

9 years ago

GPL

MASOGANGE, DAVIDO PENZI...

Agness Gerald ‘Masogange’ na staa wa muziki nchini Nigeria ‘Naija’, David Adedeji Adeleke ‘Davido’ wakijiachia katika klabu moja ya usiku nchini Afrika Kusini. Mwandishi wetu PENZI ni kikohozi, kulificha huwezi! Habari ya mjini kwa sasa ni mahaba niue ya muuza nyago kwenye nyimbo za wanamuziki wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ na staa wa muziki nchini Nigeria...

 

10 years ago

GPL

UTAMU NA CHUNGU YA PENZI NI 50%

Kama ilivyo ada wapenzi wasomaji wa safu hii karibuni kwa Jumanne nyingine katika kuelimishana na kujuzana kuhusu uhusianao na maisha.Kabla sijaanza mada ya wiki hii napenda kuwakumbusha mada ya wiki iliyopita kutamani au kuwa na mtu anayekufaa wakati wewe mwenye hujajitathmini kama unamfaa. Ni matumaini yangu wasomaji wangu mtakuwa mmejifunza mengi kuhusu mada iliyopita, leo nitazungumza nanyi kuhusu utamu na uchungu wa penzi...

 

9 years ago

Global Publishers

Penzi Kabla Ya Kifo-12

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
Elizabeth alibaki akiwa amesimama kama nguzo ya umeme, hakuamini kile kilichotokea, moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali mno, hakutingishika, alibaki vilevile na ghafla machozi yakaanza kumbubujika mashavuni mwake.
ENDELEA NAYO…

Usiku, hakulala, alikesha huku mawazo yake yakiwa kwa Edson tu. Kila wakati aliishika simu ile na kuiangalia namba ya Edson, alitamani kumpigia na kuzungumza naye, japokuwa alikuwa ametukanwa lakini hilo wala halikuwa tatizo, vitisho...

 

9 years ago

Global Publishers

Penzi Kabla Ya Kifo-13

Mwanamke bilionea mwenye kiu ya kupata mtoto, Elizabeth Marcel anajikuta akitukanwa na mume wa mtu kisa tu alikuwa akimpenda na kumtaka kimapenzi. Hilo, linamuumiza mno na kuamua kuachana naye kisha kusonga na maisha yake pasipo kujua Mungu amemuandalia kitu gani mbele yake.
SONGA NAYO…

Baada ya miezi miwili kupita, hatimaye maumivu yakawa yamepungua, hakumkumbuka tena Edson, aliamua kuachana naye na kufanya ishu zake nyingine. Safari hazikuisha, hakuwa mtu wa kutulia, leo alikuwa akienda...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Obriz – Penzi

20151201063048

Wimbo mpya wa msanii chipukizi, Obriz ‘Penzi’ uliotayarishwa na Rash Don wa Kiri Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani