Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima fanyeni uamuzi sahihi Uchaguzi Mkuu - RC

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Rajabu Rutengwe amesema Uchaguzi Mkuu ndiyo utakaoamua mustakabali wa wakulima wadogo endapo jamii hiyo itafanya uamuzi sahihi katika kumchagua rais, wabunge na madiwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kalenga fanyeni uamuzi sahihi

WANANCHI wa Kalenga wanaojua kusoma, someni hapa, fundisheni wenzenu, mkichagua ovyo, mkaongozwa ovyo, mtalalamika. Someni taratibu kwa kituo, mtumie vema haki yenu ya kidemokrasia. Nimeona niwakumbushe au kuwafahamisha wasiofahamu. Wakati...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Rungwe fanyeni uchaguzi sahihi’

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) wilayani hapa, Bupe Mpagate amewataka wananchi wa wilaya hiyo hususan wanawake kuitosa CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na badala yake waichague Chadema ili waweze kupigania haki zao kwa vitendo na si vinginevyo.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia upatikanaji wa taarifa sahihi kuelekea uchaguzi mkuu

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumaza na vijana wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bibi. Natalia Kanem. Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bibi. Natalia Kanem...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amefanya uamuzi sahihi

Juzi, Rais Jakaya Kikwete aliiagiza Manispaa ya Kinondoni iondoe maji yaliyozingira nyumba za watu mara moja wakati ikitafakari mipango ya muda mrefu ya kukabiliana na mafuriko ya maji jijini Dar es Salaam, ambayo kwa kiasi fulani pia husababishwa na mitaro kujaa uchafu.

 

11 years ago

Mwananchi

Baada ya matokeo Fanya uamuzi sahihi kujiendeleza kielimu

Wapo wanaofuata mkumbo wa kusoma mchepuo (combination) fulani kwa sababu marafiki zao wengi wameuchagua mchepuo huo. Aidha, wapo wanaolazimisha kusoma masomo magumu yaliyo nje ya uwezo wao kiakili.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga fanyeni mkutano mkuu kesho bila vurugu

Huku timu ya Yanga ikiwa Antalya, Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki mbili, mkutano mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga utafanyika kesho kwenye Ukumbi wa PTA, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015

11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.

11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o

Vifaa mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema leo alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam. Vifaa ...

 

9 years ago

Michuzi

MAJINA SAHIHI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa (Pichani)anatumia majina matatu kama ifuatavyo: Kassim Majaliwa Majaliwa au Kassim M. Majaliwa.
Tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, kumekuwa na uchanganyaji wa majina yake na hii ni kwa sababu tangu akiwa chuoni na jeshini, alikuwa akitanguliza kutaja ubini (jina la ukoo) na ndiyo maana ikawa inasomeka Majaliwa Kassim Majaliwa.
Endapo jina hilo litaanza kuandikwa na ubini, litapaswa kutenganishwa na koma kama ifuatavyo: Majaliwa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani