Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BoT ihakikishe ‘Kashfa ya EPA’ haijirudii 2015

Tunampongeza Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwa kauli aliyotoa juzi mara baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya Ikulu kushika wadhifa huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kashfa ya IPTL, Uchaguzi Mkuu 2015 vyashusha thamani ya Shilingi

Hatua ya wahisani kuzuia Sh1 trilioni za misaada ya kibajeti kwa Serikali kutokana na kashfa ya IPTL na wasiwasi wa Uchaguzi Mkuu mwakani, ni miongoni mwa sababu za kuporomoka kwa kasi thamani ya Shilingi nchini, imefahamika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kigoda: FCC ihakikishe inamlinda mlaji

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda ameitaka Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC)kuhakikisha inasimamia na kumlinda mlaji dhidi ya bidhaa bandia. Akiwasilisha hotuba hiyo kwa niaba ya Waziri,...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA IHAKIKISHE KILIMO KINASIMAMIWA KIKAMILIFU-WAZIRI HASUNGA



Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga akiongea na Menejimenti ya Wizara kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kilimo IV Wizarani hapo.Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (katikati) akiwa pamoja na Manaibu Waziri wa Wizara hiyo. Kushoto ni Naibu Waziri Mhe. Hussein Bashe na Kulia ni Naibu Waziri Mhe.Omary Mgumba wakiwa katika kikao cha menejimenti ya...

 

5 years ago

Michuzi

MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI NA KUITAKA IHAKIKISHE ATCL INAKUWA IMARA KIUSHINDANI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakala ya Ndege za Serikali (hawapo pichani) mara baada ya kuzindua Bodi hiyo mapema leo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Mhandisi John W. H. Kijazi ambaye pia ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK amnusuru mfungwa EPA

MFANYABIASHARA, Ajay Somai, aliyetupwa jela kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8 kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa njia ya udanganyifu, anadaiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa EPA waachiwa huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka  Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya EPA yapigwa kalenda

KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfungwa wa EPA aibua mapya

JESHI la Magereza (TPS) nchini limekiri kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais Jakaya Kikwete, mfanyabiashara , aliyetupwa jela kutumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8...

 

11 years ago

TheCitizen

EPA decision was wrong, says judge

The High Court has nullified a decision by the Kisutu Resident Magistrates’ Court to close evidence in the External Payment Arrears (EPA) account theft case against two brothers, Johnson Lukaza and Mwesiga Lukaza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani