Brandts awapa maagizo fowadi
Kocha Mkuu wa Yanga, Ernest Brandts amewataka washambuliaji wake kuhakikisha wanavunja rekodi ya msimu uliopita ya kuzifumania nyavu huku akiahidi kuwapa nafasi ya kucheza kila mmoja katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Yanga yamleta fowadi Mzambia
Klabu ya Yanga imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji raia wa Zambia, Jonas Sakuwaha anayeichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXtkNvXkjjuAvOGMiQVrnPsO2N9LNw0zXpuleupBBfSMVPYzQP9R26DiB1FvmF-T4hNF19E1Y9pzk4lXv9QQTFH*/brands.gif?width=650)
Brandts:Nimechanganyikiwa
Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts amesema kiasi fulani hafurahii na inamchanganya kuona amefukuzwa kazi na anaendelea kubaki nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Brandts amesema inamuwia vigumu kuona anaendelea kubaki jijini Dar es Salaam.
“Wangeweza kunipa malipo yangu ili niende mapema. Wachezaji wanajua mimi nimefukuzwa Yanga, lakini vipi leo naendelea kufanya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXqP2ZCFaHRAN2n58FRVDZuL1BxSgyGRHf8iX78CgPujUPCTyWdPfneFSk21HJWglOFBPk6rftVanb6X7WD7BiHL/BRANDS.jpg?width=650)
Brandts atimuliwa Yanga
Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu KOCHA Ernie Brandts hana chake tena Yanga na ndani ya siku mbili, uongozi wa klabu hiyo utatangaza kumtimua.
Taarifa za uhakika ambazo Championi Jumatatu limezipata kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza Brandts ameshafukuzwa kazi.
“Kweli Brandts ameonekana hafai na wakubwa walikaa jana kikao mara tu baada ya mechi ya Simba na Yanga, wamefikia hatua ya kumuachisha kazi. “Mimi...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Simba wamng’oa Brandts Yanga SC
KICHAPO cha mabao 3-1 ilichopata Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, juzi, kimegharimu kibaru cha aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo,...
11 years ago
GPLYANGA YASITISHA MKATABA NA BRANDTS
Kocha wa zamani wa Yanga, Ernie Brandts. Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu. Maamuzi hayo yanafuatia muenendo wa matokeo mabaya katika michezo iliyopita ya Ligi Kuu, kirafiki na bonanza la Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC mwishoni mwa wiki. Hatua ya Young Africans SC...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Brandts kuvuna Sh170 mil
>Kocha wa Yanga, Ernie Brandts sasa atavuna Sh170 milioni kutoka kwa uongozi wa timu hiyo baada ya kusitisha mkataba wake jana.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--*VoSw5EccamNLZKH9lBBP6JQ*6KNI*CR7v8Oz1lpADGx9m1cfKwDTb77KmDroWNSEDq9NLHJREp81JNtR-fwJ/BRANDS.jpg?width=650)
Brandts aondoka Dar kimyakimya
Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Ernie Brandts ameondoka jijini Dar es Salaam kurejea kwao Eindhoven nchini Uholanzi kuendelea na maisha.
Lakini Brandts ameondoka kimyakimya huku akionekana kufanya kila jambo siri kubwa kuhusiana na kuondoka kwake. Brandts alitimuliwa kuinoa Yanga baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe.
Championi Jumatano… ...
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Brandts hafikirii kumtumia Okwi
Kocha Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts amesema anaondoa uwezekano wa kumtumia mshambuliaji wake mpya, Emmanuel Okwi katika pambano la kesho dhidi ya Simba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania