Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yamleta fowadi Mzambia

Klabu ya Yanga imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji raia wa Zambia, Jonas Sakuwaha anayeichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Yanga SC yamleta Samatta Dar

Mbwana Samatta. Wilbert Molandi,Dar es Salaam
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanatarajiwa kuwaleta mabingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL), Kaizer Chiefs, pamoja na TP Mazembe wanaocheza Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kwa ajili ya kuwapima nyota wao wapya waliowasajili. Yanga hadi sasa wamefanikiwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke huku ikiwabakiza Haruna Niyonzima, Mbuyu...

 

11 years ago

Mwananchi

Brandts awapa maagizo fowadi

Kocha Mkuu wa Yanga, Ernest Brandts amewataka washambuliaji wake kuhakikisha wanavunja rekodi ya msimu uliopita ya kuzifumania nyavu huku akiahidi kuwapa nafasi ya kucheza kila mmoja katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yamleta nduguye Tambwe

Simba imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji kutoka Burundi baada ya kocha mkuu, Dylan Kerr kupendekeza atafutiwe mchezaji mwingine mwenye nguvu, akili ya mchezo.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam FC yasaka saini ya Mzambia

Dar es Salaam. Matajiri wa Chamazi, Azam wameanza harakati za kuisaka saini ya mshambuliaji wa Power Dynamos ya Zambia, Jimmy Ndhlovu anayetajiwa kutua nchini Jumatano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPHRAIM SEKELETI : Mwimbaji Injili Mzambia anayeihusudu Tanzania

JINA la Ephraim Sekeleti Mutalange si geni masikioni na machoni pa wengi si kutokana na umaarufu wake katika uimbaji na utungaji wa vibao vilivyobeba ujumbe murua, pia uwezo wake wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani