Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga SC yamleta Samatta Dar

Mbwana Samatta. Wilbert Molandi,Dar es Salaam
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanatarajiwa kuwaleta mabingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL), Kaizer Chiefs, pamoja na TP Mazembe wanaocheza Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kwa ajili ya kuwapima nyota wao wapya waliowasajili. Yanga hadi sasa wamefanikiwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke huku ikiwabakiza Haruna Niyonzima, Mbuyu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamleta fowadi Mzambia

Klabu ya Yanga imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji raia wa Zambia, Jonas Sakuwaha anayeichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yamleta nduguye Tambwe

Simba imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji kutoka Burundi baada ya kocha mkuu, Dylan Kerr kupendekeza atafutiwe mchezaji mwingine mwenye nguvu, akili ya mchezo.

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga …

Mtu wangu wa nguvu najua unashauku ya kutaka kufahamu leo December 23 kuna stori gani katika headlines za soka la Bongo. Huenda ukawa hukupata bahati ya kusoma stori za michezo za magazeti ya leo December 23. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 5 za stori za magazeti ya michezo ya Tanzania. 5- Majabvi amalizana […]

The post TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Samatta, Ulimwengu waanza kujifua Dar

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania wanaocheza soka ya kulipwa katika klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, wametua nchini kwa mechi ya kimataifa dhidi ya...

 

9 years ago

Habarileo

Samatta, Ulimwengu kuifuata Stars Dar

WASHAMBULIAJI mahiri wa Tanzania wanaoichezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Ally Samatta na Thomas Ulimwengu wataungana na timu ya taifa jijini Dar es Salaam badala ya kwenda Afrika Kusini ambako imepiga kambi.

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

10 years ago

GPL

Yanga Yajichimbia Jeshini Dar

Waandishi Wetu, Dar es Salaam WAKIJIANDAA na michuano ya Kombe la Kagame, Yanga wameamua kufanya mazoezi yao kwa kificho kikubwa kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es Salaam. Uwanja huo wanaoutumia Yanga kufanya maandalizi hayo, unamilikiwa na Jeshi la Polisi ambao umekuwa ukitumiwa na  timu za majeshi zinazojiandaa na michuano mbalimbali. Timu hiyo, ilianza kufanya mazoezi yake kwa mara ya kwanza jana...

 

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Toto lake Dar

BAADA ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga na Azam FC kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wao uliopita, leo Yanga wana kibarua kingine watakapoikaribisha Toto Africans ya Mwanza kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani