Brandts:Nimechanganyikiwa
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXtkNvXkjjuAvOGMiQVrnPsO2N9LNw0zXpuleupBBfSMVPYzQP9R26DiB1FvmF-T4hNF19E1Y9pzk4lXv9QQTFH*/brands.gif?width=650)
Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts amesema kiasi fulani hafurahii na inamchanganya kuona amefukuzwa kazi na anaendelea kubaki nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Brandts amesema inamuwia vigumu kuona anaendelea kubaki jijini Dar es Salaam. “Wangeweza kunipa malipo yangu ili niende mapema. Wachezaji wanajua mimi nimefukuzwa Yanga, lakini vipi leo naendelea kufanya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXqP2ZCFaHRAN2n58FRVDZuL1BxSgyGRHf8iX78CgPujUPCTyWdPfneFSk21HJWglOFBPk6rftVanb6X7WD7BiHL/BRANDS.jpg?width=650)
Brandts atimuliwa Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--*VoSw5EccamNLZKH9lBBP6JQ*6KNI*CR7v8Oz1lpADGx9m1cfKwDTb77KmDroWNSEDq9NLHJREp81JNtR-fwJ/BRANDS.jpg?width=650)
Brandts aondoka Dar kimyakimya
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Brandts kuvuna Sh170 mil
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Simba wamng’oa Brandts Yanga SC
KICHAPO cha mabao 3-1 ilichopata Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, juzi, kimegharimu kibaru cha aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo,...
11 years ago
GPLYANGA YASITISHA MKATABA NA BRANDTS
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Brandts hafikirii kumtumia Okwi
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Brandts awapa maagizo fowadi
11 years ago
GPLBrandts: Yanga hii, itaimaliza Al Ahly