Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bravo Kikwete kuitambua SHIWATA na malengo yake

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) chini ya Mwenyekiti wake, Caasim Taalib, leo wanafanya kongamano la umoja na mshikamano, tukio litakalofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete asikilize kilio hiki cha SHIWATA

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) chini ya Mwenyekiti wake, Cassim Taalib, hivi karibuni uliitisha kongamano katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijiji Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasanii, wanamichezo...

 

11 years ago

Habarileo

EPZA yasema imevuka malengo yake

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imesema imevuka malengo yake kwa mwaka 2013, hatua iliyotajwa kwamba ni kigezo cha Tanzania kuzidi kufanikiwa katika nyanja ya uwekezaji.

 

9 years ago

Raia Mwema

Ndugai: Tutamsadia Rais kufikia malengo yake

Waandishi wetu, DEUS BUGAYWA na JOHN DANIEL, walifanya mahojiano na Spika wa Bunge, Job Ndugai, i

Waandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Msaidie mwanao kufikia malengo yake ya baadaye

Wakati watoto wanakua, mara nyingi huanza kupanga mipango yao ya baadaye pia huchagua kazi ambayo wangependa kufanya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Afunguka Kuhusu Malengo ya Ndoa Yake Kukwama

Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kuelezea  ni kwajinsi gani anavyo lichukulia swala la lengo lake alilojiwekea la  kuolewa mwaka 2014 kushindikana, kwa kusema kuwa imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo kwani anaamini Mungu ndiye anayewezesha kila kitu.

Akizungumza na paparazi wa GPL hivi karibuni, Lulu alisema mwaka 2014 alikuwa na malengo mengi likiwemo suala la ndoa lakini kwa kuwa Mungu ndiye muweza, atapanga upya suala...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA MWISHO YA KAMPENI YAKE YA AKAUNTI YA MALENGO.

Mmoja wa wateja wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Kakili Juma (wa pili kushoto) akiokota karatasi yenye jina la mshindi wa droo ya mwisho na kubwa ya kampeni ya akaunti ya malengo ya Benki ya Exim Tanzania iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni kwa wiki.Wanaoshuhudia kushoto ni pamoja na Meneja Bidhaa ya benki hiyo, Bw Aloyse Maro, Mwakilishi kutoka Bodi ya Taifa michezo ya kubahatisha nchini (GBT), Bw Bakari Maggid, Meneja Masoko wa benki hiyo Bw. Abdulrahman...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tafiti nyingi Afrika zinahitaji uwekezaji kufikia malengo yake-Dr Mutabazi

DSC_1926Mhadhiri Muandamizi kutoka Idara ya uchumi kilimo wa Chuo Kikuu cha Kilimo  cha Sokoine ( SUA) Morogoro, Dk. Khamaldin Mutabazi (pichani) wakati wa mahojiano na mwandishi wa mtandao wa modewjiblog.com (hayupo pichani) kwenye viunga vya kumbi za mikutano, Makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa wakati wa mkutano mkubwa wa wanayasansi juu ya siku za usoni na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ‘Our Common Future Under Climate Change’.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[Paris, Ufaransa] Tafiti...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo

Meneja Bidhaa wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Aloyse Maro (kushoto) akikabidhi mfano wa ufunguo wa gari kwa Meneja Mahusiano Msaidizi wa benki hiyo Bi. Naomi Sanga (katikati) ambaye alimuwakilisha mshindi mkuu wa kampeni ya akaunti ya malengo ya benki hiyo aliyejishindia gari aina ya Toyota IST kwenye hafla fupi ya makabidhiani iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa Benki hiyo Bw Abdulrahman Nkondo.
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Jong-un: Kutoweka kwake, siasa ya kimataifa, malengo yake na jeshi la Korea Kaskazini

Katika siku za hivi karubuni kiongozi huyo wa Korea kaskzini alitoweka katika maeneo ya umma kwa siku 20 na kukosa sherehe za kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya babu yake - ikiwa ni sherehe kubwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani