EPZA yasema imevuka malengo yake
MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imesema imevuka malengo yake kwa mwaka 2013, hatua iliyotajwa kwamba ni kigezo cha Tanzania kuzidi kufanikiwa katika nyanja ya uwekezaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
EPZA yavuka malengo 2013
MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imetangaza kuvuka malengo yake kwa mwaka 2013. Mafanikio hayo yalitangazwa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Dk. Adelhelm...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Bravo Kikwete kuitambua SHIWATA na malengo yake
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) chini ya Mwenyekiti wake, Caasim Taalib, leo wanafanya kongamano la umoja na mshikamano, tukio litakalofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam....
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Msaidie mwanao kufikia malengo yake ya baadaye
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Ndugai: Tutamsadia Rais kufikia malengo yake
Waandishi wetu, DEUS BUGAYWA na JOHN DANIEL, walifanya mahojiano na Spika wa Bunge, Job Ndugai, i
Waandishi Wetu
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Lulu Afunguka Kuhusu Malengo ya Ndoa Yake Kukwama
Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kuelezea ni kwajinsi gani anavyo lichukulia swala la lengo lake alilojiwekea la kuolewa mwaka 2014 kushindikana, kwa kusema kuwa imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo kwani anaamini Mungu ndiye anayewezesha kila kitu.
Akizungumza na paparazi wa GPL hivi karibuni, Lulu alisema mwaka 2014 alikuwa na malengo mengi likiwemo suala la ndoa lakini kwa kuwa Mungu ndiye muweza, atapanga upya suala...
5 years ago
Bongo514 Feb
Korea Kaskazini yasema itafanya majaribio ya makombora yake kila wiki
Korea Kaskazini itaendelea kufanya majaribio ya makombora yake, Afisa wa juu nchini humo ameiambia BBC mjini Pyongyang, ingawa jamii ya kimataifa imekuwa ikikemea majaribio hayo.
Korea na Marekani wamekuwa wakitishiana kwa maneno huku kila mmoja akionyesha silaha aliyokuwa nayo na uwezo wake.
“Tutatekeleza majaribio zaidi katika kipindi cha kila juma,kila mwezi na kila mwaka,” alieleza makamu waziri wa masuala ya kigeni Han Song-ryol alipokuwa akizungumza na mwanahabari wa BBC, John...
9 years ago
Michuzi
BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA MWISHO YA KAMPENI YAKE YA AKAUNTI YA MALENGO.

10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Tafiti nyingi Afrika zinahitaji uwekezaji kufikia malengo yake-Dr Mutabazi
Mhadhiri Muandamizi kutoka Idara ya uchumi kilimo wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine ( SUA) Morogoro, Dk. Khamaldin Mutabazi (pichani) wakati wa mahojiano na mwandishi wa mtandao wa modewjiblog.com (hayupo pichani) kwenye viunga vya kumbi za mikutano, Makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa wakati wa mkutano mkubwa wa wanayasansi juu ya siku za usoni na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ‘Our Common Future Under Climate Change’.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[Paris, Ufaransa] Tafiti...
9 years ago
MichuziBenki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...