EPZA yavuka malengo 2013
MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imetangaza kuvuka malengo yake kwa mwaka 2013. Mafanikio hayo yalitangazwa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Dk. Adelhelm...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Jan
SMZ yavuka malengo ya milenia
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imesema imefanikiwa kuyafikia Malengo ya Milenia ya kuimarisha na kusambaza huduma za Elimu hadi vijijini ambapo kwa sasa hakuna mwanafunzi anayetembea kilomita nne kutafuta elimu.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-TlpXNSaGo1s/XqpvfhUGcII/AAAAAAALomI/mA9YQXfS1F4gJuNEs1D7W8bEAVj1ZpMQACLcBGAsYHQ/s72-c/C.png)
HALMASHAURI YA NJOMBE YAVUKA TENA MALENGO UKUSANYAJI MAPATO
Na Amiri kilagalila,NjombeHALMASHAURI ya wilaya ya Njombe ambayo asilimia 70 ya mapato yake inayapata kutoka kwenye mazao ya miti , imefanikiwa kuvuka tena lengo la makusanyo ya mwaka 2019/2020 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka kwa kukusanya asilimia 108 ya mapato.Ripoti hiyo ya makusanyo imetolewa katika kikao cha baraza na mwenyekiti wa halmashauri Valentino Hongoli na kutolewa ufafanunuzi na mkurugenzi Ally Juma ambaye anasema siri ya mafanikio makubwa katika makusanyo yametokana na...
11 years ago
Habarileo16 Jan
EPZA yasema imevuka malengo yake
MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imesema imevuka malengo yake kwa mwaka 2013, hatua iliyotajwa kwamba ni kigezo cha Tanzania kuzidi kufanikiwa katika nyanja ya uwekezaji.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOJz7HFqbWlaO8GFP8lJRHHleoE-FaE2EBZJD4eryMdChKFVRlV4qSPZMhD1778MOz7MRK4vSLHluATJY7xH*MpS/1goals.jpg?width=650)
NJIA BORA YA KUTIMIZA MALENGO YALIYOKWAMA MWAKA 2013 - 2
10 years ago
Uhuru NewspaperMauaji ya albino yavuka mipaka
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Tume yavuka lengo la uandikishaji Makambako
10 years ago
Habarileo19 Jul
Ukerewe yavuka lengo kujiandikisha BVR
HALMASHAURI ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza imeandikisha wananchi 162,883 katika daftari la kudumu la wapiga kura.
11 years ago
Habarileo20 Jul
Serikali yavuka lengo usambazaji umeme
SERIKALI imekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuipangia upya malengo ya kusambaza umeme kwa wananchi kwa sababu malengo yaliyopangwa katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 yamefikiwa na kupitwa hata kabla ya kumalizika kipindi cha miaka mitano.
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Tabora yavuka lengo chanjo surua na rubera
MKOA wa Tabora umevuka lengo la kampeni shirikishi ya chanjo ya surua, rubera na magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumembele licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini...