BRAZIL 2014: Webb, Carballo nani kuchezesha fainali?
>Huku fainali ya Kombe la Dunia ikiwa Julai 13, tayari vita ya nani atakuwa dimbani imeanza baina ya waamuzi, Howard Webb raia wa England na Carlos Velasco Carballo kutoka Hispania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Webb huenda akaamua fainali Brazil
Refarii Howard Webb huenda akaamua fainali ya kombe la dunia baada ya kuteuliwa kusalia Brazil na FIFA
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Waafrika watano kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia 2014
Waamuzi wamechaguliwa kutokana na uwezo wao wa kuchezesha mechi, kuusoma na kuelewa mbinu za timu.
11 years ago
Mwananchi10 Jul
BRAZIL 2014: Ni Argentina na Ujerumani fainali
Timu ya soka ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Dunia baada kuitungua Uholanzi kwa mikwaju ya penalti 4-2, katika mchezo wa jana wa nusu fainali nchini Brazil.
11 years ago
Mwananchi13 Jul
BRAZIL 2014: Ni fainali ya visasi leo
Ni fainali ya visasi ya Kombe la Dunia baina ya Argentina na Ujerumani kwenye Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Kambi za timu 32 Fainali za Kombe la Dunia 2014 Brazil
Kila zinapofanyika fainali za Kombe la Dunia, timu zinazoshiriki fainali hizo hupewa nafasi ya kuchagua hoteli na viwanja vya mazoezi vinavyokuwa vimeandaliwa kwa ajili ya kuweka kambi.
11 years ago
Mwananchi03 Jul
BRAZIL 2014: Walioongoza makundi wote waenda robo fainali
Historia mpya imeandikwa Brazil baada ya washindi wa makundi manane waliofuzu kucheza hatua ya 16 bora kuingia robo fainali.
11 years ago
GPL11 years ago
TheCitizen28 Jun
BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia
>From 32, it’s down to the last 16. Here there are no second chances. It is win or bust.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
BRAZIL 2014: PIGO LA KARNE: Majonzi, vilio kila kona Brazil
>Vilio, majonzi vilitawala kila ni kona ya Brazil baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-1kutoka kwa Ujerumani katika nusu fainali ya kwanzajana kwenye Uwanja wa Mineirao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania