Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BRAZIL 2014: Ni fainali ya visasi leo

Ni fainali ya visasi ya Kombe la Dunia baina ya Argentina na Ujerumani kwenye Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ni fainali ya visasi leo

 Ni fainali ya visasi ya Kombe la Dunia baina ya Argentina na Ujerumani kwenye Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ni Argentina na Ujerumani fainali

Timu ya soka ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Dunia baada kuitungua Uholanzi kwa mikwaju ya penalti 4-2, katika mchezo wa jana wa nusu fainali nchini Brazil.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Webb, Carballo nani kuchezesha fainali?

>Huku fainali ya Kombe la Dunia ikiwa Julai 13, tayari vita ya nani atakuwa dimbani imeanza baina ya  waamuzi, Howard Webb raia wa England na Carlos Velasco Carballo kutoka Hispania.

 

11 years ago

Mwananchi

Kambi za timu 32 Fainali za Kombe la Dunia 2014 Brazil

Kila zinapofanyika fainali za Kombe la Dunia, timu zinazoshiriki fainali hizo hupewa nafasi ya kuchagua hoteli na viwanja vya mazoezi vinavyokuwa vimeandaliwa kwa ajili ya kuweka kambi.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Gustavo pigo kwa Brazil dhidi ya Colombia leo

Licha ya kuwa Neymar ndiye mchezaji anayetajwa zaidi na kuonekana msaada mkubwa katika kikosi cha Brazil, pia uwepo wa Oscar, Thiago Silva na David Luiz unaonekana kuwa muhimu uwanjani.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Walioongoza makundi wote waenda robo fainali

Historia mpya imeandikwa Brazil baada ya washindi wa makundi manane waliofuzu kucheza hatua ya 16 bora kuingia robo fainali.

 

11 years ago

Michuzi

goli la penati dhidi ya mexico yaipeleka uholanzi robo fainali kombe la dunia brazil leo

Kocha wa Uholanzi Louis van Gallakimpongeza Arjen Robben kwa kufanyiwa rafu iliyozaa penati na hatimaye bao la ushindi dhidi ya Mexico leo
Na Sultani Kipingo

wa Globu ya Jamii

Yaani huko Old Trafford katika  klabu ya Manchester United nchini Uingereza atakoenda kufundisha msimu ujao tayari waliishaanza kuandaa ofisi ya meneja wao mpya Louis van Gall anayeifundisha timu ya Uholanzi katika kombe la dunia, baada ya kuhisiwa kuwa ataaga mashindani hayo Jumapili hii walipocheza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani