Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Breaking News!! Hali si shwari milima ya Udzungwa, Wanajeshi waingia kazini mitutu yalia msitunu

Udzungwa_mountains-1

*Update zilizotufikia hivi punde inasemakana watu 6 wamejeruhiwa kwa risasi, akiwemo mtu aliyeripotiwa kufariki dunia katika hao 6 katika kijiji cha Nyandeo Msolwa wilayani Kilombero… Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea kadri tunavyozipata.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Habari zilizotufikia katika chumba cha habari kutoka Wilayani Kilombero  katika vijji vya Nyandeo na Kidatu Mkoani, Morogoro ni kuwa  jeshi la Wananchi wameingia katika mji huo na kupiga kambi katika milima ya Udzungwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News!!!  Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva

11088108_826634080706798_1441278712_n

Katibu wa  Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima

…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko  rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Chad waingia Nigeria

Wanajeshi wa Chad wameingia nchini Nigeria kwa ajili ya kupambana na Wanamgambo wa Boko Haram

 

10 years ago

Mwananchi

Hali si shwari Simba

Wakati kocha Mserbia Goran Kopunovic anayetajiwa kuwasili leo kuchukua nafasi ya Patrick Phiri, wachezaji Simon Sserunkuma, Joseph Owino na Juuko Murshid wameikacha Simba na kurudi kwao Uganda.

 

10 years ago

Mwananchi

Hali si shwari nchini

>Ni dhahiri kwamba sasa hali si shwari nchini kutokana na mfululizo wa matukio ya uhalifu ikiwamo kuvamiwa vituo vya polisi, kuuawa kwa polisi na jingine kubwa la juzi la mapigano baina ya polisi wakisaidiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) dhidi ya makundi yanayodhaniwa kuwa ni ya ama ujambazi au kigaidi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi waasi warejea kazini CAR

Wengi walioasi walikuwa Wakristo waliohofia kushambuliwa na wenzao waisilamu baada ya mapinduzi yaliyoongozwa na waasi wa Seleka.

 

11 years ago

Mwananchi

Hali si shwari Tughe Taifa

Hali si shwari katika Chama cha Wafanyakazi wa Afya na Serikali Kuu (Tughe), baada ya Baraza lake Kuu la Taifa kuwasimamisha viongozi wakuu hadi mkutano mkuu wa chama hicho utakapoitishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Radamel Falcao, hali si shwari

Radamel Falcao yuko fiti kucheza dakika 20 tu

 

10 years ago

Mwananchi

Hali si shwari CCM Mwanga

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mwanga, wamekiomba chama hicho kuunda Tume huru kuchunguza madai ya kutolewa kwa kadi zaidi ya 3,000 za uanachama kinyume cha taratibu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani