Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWZZZZ: MASHINE ZA ATM ZAATHIRIWA NA VIRUSI VYA TYUPKIN

Na Yusuph KileoAina hii Malware inayojulikana kama Tyupkin yaleta maafa katika mashine za ATM. Tyupkin imekua ikisambazwa na kundi la wahalifu mtandao kutokea ulaya mashariki na kusababisha pesa nyingi kuweza kutoka kupitia ATM mashine ambapo tayari wataalam wa usalama mitandao kutoka Kaspersky Lab wakishirikiana karibu na polisi wasio na mipaka “Interpol” wameshaanzisha oparesheni ya pamoja kutafuta chanzo na ugunduzi katika mashine 50 umebainika hadi sasa.Uchunguzi wa kina umeonyesha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Ykileo

“TYUPKIN” YATIKISA MASHINE ZA ATM

Aina hii Malware inayojulikana kama Tyupkin yaleta maafa katika mashine za ATM. Tyupkin imekua ikisambazwa na kundi la wahalifu mtandao kutokea ulaya mashariki na kusababisha pesa nyingi kuweza kutoka kupitia ATM mashine ambapo tayari wataalam wa usalama mitandao kutoka Kaspersky Lab wakishirikiana karibu na polisi wasio na mipaka “Interpol” wamesha anza oparesheni ya pamoja kutafuta chanzo na ugunduzi katika mashine 50 umebainika hadi sasa.


Video inayo onyesha kilichotokea kwenye Mashine...

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MASHINE ZA ATM ZA SELCOM WAFANA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

Meneja miradi wa kampuni ya Selcom Wireless, Gallus Runyela kulia akiwaelekeza kina mama waliotembelea kutoa pesa wakati wa uzinduzi wa mashine ya ATM ya kampuni hiyo ambazo zinatoa  pesa kwa kutumia mitandao mbalimbali ya simu kama M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, walipo tembelea katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere  kushoto ni Ester Kariwa na Joyce Mtema Mmoja ya wateja waliotembelea banda la kampuni ya Selcom Wireless,...

 

11 years ago

Michuzi

Breaking newzzzz: viungo vya binadamu vyakamatwa dar es salaam leo (kunradhi kwa picha za kuogofya)

 Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika  mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Sehemu ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Waandisi wanaorekebisha mashine za kusaidia kupumua bila malipo

Wahandisi wawili kutoka Nigeria wamekuwa wakitengeneza vifaa vya kusaidia kupumua vilivyoharibika bila malipo katika hospitali moja nchini humo

 

10 years ago

Michuzi

NBC yazindua mashine za ATM za kupokea pesa

Meneja wa ATM na Kadi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Wambura John (kushoto) akiweka pesa kwa kutumia ATM katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya kuweka pesa (deposit) kwa kutumia mashine za ATM ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni mteja wa benki hiyo, Francis Xavier na kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter Mteja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Francis Xavier (kushoto) akiweka pesa (deposit) katika mashine ya ATM ya benki hiyo wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: PROFESA SOSPETER MUHONGO ABWAGA MANYANGA

Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani) na wanahabari ofisini kwake Dar es salaam muda huu zinasema kiongozi huyo ameamua kubwaga manyanga. Sababu na habari kamili ya hili tutawaletea punde baada ya mkutano huo kwisha.

Ila kasema ameamua kujiuzulu kwa kile alichotaja kuiachia serikali na Bunge kusitisha malumbano ya sakata la Escrow, akidai inaonekana yeye ndiyo tatizo. Stay tuned for more....

 

10 years ago

Ykileo

INDIA YADHAMIRIA KUKABILIANA NA WIZI KUPITIA MASHINE ZA ATM

Katika Mkutano uliofanyika Nchini India, Mbali na maelezo ya jitihada na dhamira kubwa katika kuwekeza katika maswala ya teknolojia kupitia kampeni yao ya DIGITAL INDIA, Pia nchi imepata kuelezea dhamira yao ya kuwekeza zaidi kwa kutoa misaada ya kimasomo ( Scholarships ) kwa wale watakao kuwa wakisomea masomo yatakayo wezesha kukuza na kufanikisha jitihada zao za Digital India.


Aidha, Kwa Upande mwingine – Wameweza kukubali tatizo linalo ambatana na ukuaji wa technolojia ni uhalifu mtandao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani