BREAKING NYUUZZZZZZ: MSIKITI WA MTAMBANI ULIOPO KINONDONI, DAR ES SALAAM, UNAUNGUA MOTO HIVI SASA

Msikiti wa Mtambani ulioko maeneo ya Kinondoni jijini Dar es salaam unawaka moto hivi sasa kama inavyoonekana katika picha na juhudi za kuuzima zinaendelea. Chanzo cha moto huo pamoja na madhara yake bado havijajulikana. Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio na tutawapasha habari zaidi baadaye.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 Aug
11 years ago
MichuziMh. Lowassa atoa pole msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar leo
11 years ago
GPL
MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA
11 years ago
GPL
MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA TENA
11 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Msikiti wa Mtambani waungua moto tena
MSIKITI wa Mtambani, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, umeungua moto tena. Awali msikiti huo uliungua moto Agosti 13, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...
11 years ago
Mtanzania14 Aug
Msikiti wa Mtambani wateketea kwa moto

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto
Na Mwali Ibrahim, Dar es Salaam
MSIKITI wa Mtambani, uliopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam umeteketea kwa moto.
Moto huo ulianza kuwaka kabla ya sala ya Magharibi katika sehemu ya madarasa ya Shule ya Msingi Mtambani, iliyopo katika majengo ya msikitini huo.
“Moto ulianza kuwaka katika eneo la mabweni ya wanafunzi yaliyopo katika shule hii, lakini kwa bahati nzuri juhudi kubwa zilifanywa ili kuokoa maisha yao.
“Ila kwa bahati mbaya vitu vyote vilivyokuwa...
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: Moto wazuka tena katika Msikiti wa Mtambani leo
11 years ago
Michuzi
BREAKING NEWZZZZZ: MOTO WATEKETEZA BWENI SHULE YA AFRICAN MUSLIM MJINI MOSHI HIVI SASA


.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ.....: MOTO WATEKETEZA JENGO MOJA MTAA WA LIVINGSTONE NA NARUNG'OMBE, KARIAKOO HIVI SASA
.jpg)
.jpg)
Globu ya Jamii inafuatilia tukio hilo taarifa kamili itawajia baadae kidogo.