Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA

Msikiti maarufu wa Mtambani uliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam waungua. Hadi muda wa saa moja na nusu usiku huu, magari ya zima moto yameonekana eneo la tukio yakijaribu kuuzima moto huo, ingawa kazi ya kuuzima…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA TENA

(Msikiti wa Mtambani ukiungua kwa moto. Picha na Maktaba yetu) Habari zilizotufikia ni kwamba Msikiti wa Mtambani uliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam unateketea kwa moto hivi sasa. Hii ni mara ya pili msikiti huo kutetekea kwa moto baada ya kuungua Agosti 13 mwaka huu. Habari zaidi zitawajia hivi…

 

10 years ago

Mtanzania

Msikiti wa Mtambani waungua tena

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

NA EVANS MAGEGE, Dar es Salaam

MSIKITI wa Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana uliungua kwa moto na kuteketeza chumba kimoja kinachotumiwa na wanafunzi wa sekondari kujisomea na kulala.

Tukio la kuungua kwa msikiti huo lilitokea muda mfupi kabla ya swala ya Ijumaa na tayari baadhi ya waumini walikwishaingia kwa ajili ya kuswali.

Akithibitisha kutokea tukio hilo, Katibu wa Msikiti huo, Sheikh Abdallah Mohamed Ali, alisema moto mkubwa ulizuka...

 

10 years ago

Mwananchi

Msikiti Mtambani waungua tena

Mwezi mmoja tangu kuungua kwa Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, moto mwingine umezuka tena na kuteketeza chumba cha darasa lililokuwa likitumiwa na wanafunzi wa kidato cha nne kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa mwisho.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msikiti wa Mtambani waungua moto tena

MSIKITI wa Mtambani, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, umeungua moto tena. Awali msikiti huo uliungua moto Agosti 13, mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa atoa pole msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipatiwa maelezo na Imam wa Msikiti wa Mtambani,Sheikh Suleiman (mwenye kanzu nyeupe) ya namna moto ulivyoteketeza sehemu ya jengo la shule ya Seminari ya Kiislam ya Mivumoni katika Msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar es salaam,wakati alipotembele kuijionea hali hiyo.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoka kuangalia uharibifu uliotokea kwa kusababishwa na moto uliotokea hivi...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUUZZZZZZ: MSIKITI WA MTAMBANI ULIOPO KINONDONI, DAR ES SALAAM, UNAUNGUA MOTO HIVI SASA

 Msikiti wa Mtambani ulioko maeneo ya Kinondoni jijini Dar es salaam unawaka moto hivi sasa kama inavyoonekana katika picha na juhudi za kuuzima zinaendelea. Chanzo cha moto huo pamoja na madhara yake bado havijajulikana. Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio na tutawapasha habari zaidi baadaye.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yatoa madawati Mtambani msikiti wa Mtambani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa msaada wa madawati 60 ya Sh6.56 milioni katika Msikiti wa Mtambani ulioteketea kwa moto na kusababisha hasara ya Sh600 milioni.

 

10 years ago

Mtanzania

Makubwa yaibuka Msikiti wa Mtambani

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto

Hadia Khamisi na Jonas Mushi, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Msikiti wa Mtambani sehemu ya juu kuteketea kwa moto na kuunguza vitu vyote, uongozi umeunda kamati mbili za kufuatilia suala hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Msikiti wa Mtambani, Sheikh Abdallah Mohammed Ali, alizitaja kamati hizo kuwa ni ya maafa na ulinzi.

“Ajali hii ilianza kutokea wakati tunajiandaa kuswali Magharibi, ghafla tukasikia kelele za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani