Mh. Lowassa atoa pole msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipatiwa maelezo na Imam wa Msikiti wa Mtambani,Sheikh Suleiman (mwenye kanzu nyeupe) ya namna moto ulivyoteketeza sehemu ya jengo la shule ya Seminari ya Kiislam ya Mivumoni katika Msikiti wa Mtambani Kinondoni jijini Dar es salaam,wakati alipotembele kuijionea hali hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoka kuangalia uharibifu uliotokea kwa kusababishwa na moto uliotokea hivi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 Aug
11 years ago
Michuzi
BREAKING NYUUZZZZZZ: MSIKITI WA MTAMBANI ULIOPO KINONDONI, DAR ES SALAAM, UNAUNGUA MOTO HIVI SASA


11 years ago
Mwananchi13 Dec
Mama yake Tido kuagwa leo Dar, Lowassa atoa pole
11 years ago
GPL
MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA
11 years ago
GPL
MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WAUNGUA TENA
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Chadema yatoa madawati Mtambani msikiti wa Mtambani
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: Moto wazuka tena katika Msikiti wa Mtambani leo
11 years ago
Mtanzania13 Sep
Msikiti wa Mtambani waungua tena

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto
NA EVANS MAGEGE, Dar es Salaam
MSIKITI wa Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana uliungua kwa moto na kuteketeza chumba kimoja kinachotumiwa na wanafunzi wa sekondari kujisomea na kulala.
Tukio la kuungua kwa msikiti huo lilitokea muda mfupi kabla ya swala ya Ijumaa na tayari baadhi ya waumini walikwishaingia kwa ajili ya kuswali.
Akithibitisha kutokea tukio hilo, Katibu wa Msikiti huo, Sheikh Abdallah Mohamed Ali, alisema moto mkubwa ulizuka...
11 years ago
Mtanzania15 Aug
Makubwa yaibuka Msikiti wa Mtambani

Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto
Hadia Khamisi na Jonas Mushi, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya Msikiti wa Mtambani sehemu ya juu kuteketea kwa moto na kuunguza vitu vyote, uongozi umeunda kamati mbili za kufuatilia suala hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Msikiti wa Mtambani, Sheikh Abdallah Mohammed Ali, alizitaja kamati hizo kuwa ni ya maafa na ulinzi.
“Ajali hii ilianza kutokea wakati tunajiandaa kuswali Magharibi, ghafla tukasikia kelele za...