Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NYUZZZ...: MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI DUNI GHAFLA MCHANA HUU


Habari iliyotufikia hivi punde toka Visiwani Zanzibar,inaeleza kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni,Mhe. Salmin Awadh amefariki dunia mchana huu baada kuanguka hafla akiwa kikaoni katika Afisi kuu ya CCM kisiwandui,mjini Unguja Zanzibar.
Pichani ni Mwili wa Mwakilishi huyo ukipakiwa kwenye gari ukitolewa kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja kwenda nyumbani kwake kwa matayarisho ya mazishi.
taarifa kamili tutapeana hapo baadae.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA

Mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Salmin Awadh enzi za uhai wake. Akiongea na wananchi jimbo la Magomeni, Zanzibar.…

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakilishi afariki ghafla Zanzibar

>Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), Salmin Awadh Salmin (57) amefariki dunia.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA ASHIRIKI MAZIKO YA MWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, Edward Ngoyae Lowassa akimwaga udogo katika mazishi ya mwakilishi wa jimbo la Magomeni Zanzibar ambaye pia alikuwa mnadhimu na katibu wa wakilishi wa Chama Cha Mapinduzi katika Baraza la wawakilishi na Mjumbe wa kamati Kuu ya ccm Mh Salmin Awadh Salmin kijijini kwao Makunduchi leo Ijumaa.Marehemu alifariki ghafla janaMakamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.Lowassa...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK amtumia salamu za rambirambi Dkt. Shein kufuatia kifo cha Mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Zanzibar

salmin-awadh

Marehemu  Mh. Salmin Awadh enzi za uhai wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amempelekea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mheshimiwa Salmin Awadh Salmin, Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni katika Baraza la Wawakilishi na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Baraza hilo.

Mheshimiwa Salmin ambaye alikuwa pia Katibu wa Kamati ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA ALIEWAHI KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ALIKOKUWA AKIPATIWA MATIBABU YA MRADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA.
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.

 

10 years ago

Michuzi

DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Baadhi ya Viongozi wa juu wa Serikali, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, marehemu Salmin Awadh Salmin, huko Makunduchi mjini Zanzibar. Marehemu Salmin amezikwa leo Feb, 20, 2015 kijijini kwake Makunduchi Zanzibar.Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akiweka udongo katika kaburi la marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa shughuli za maziko yake zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi mjini Zanzibar jana Feb, 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

Maendeleo ya Msiba wa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Aliefariki Dunia

Mwili wa marehemu Salmin Awadhi ukipakiwa gari tayari kwa taratibu za mazishi hapo leo, katika makaburi ya makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja, mwili wa marehemu unategemewa kuagwa kesho saa tano katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Chukwani Unguja na kusaliwa katika Masjid Muhammad kwa mchina na kuzikwa Kijiji kwao Makunduchi Unguja Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliofika nyumbani kwao marehemu mtaa wa mpendae...

 

10 years ago

Michuzi

BREANKING NYUZZZ.....: ZAIDI YA WATU 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MABASI ILIYOTOKEA MCHANA HUU MJINI MUSOMA ANEO MAARUFU LA SABA SABA

 Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari Mkoani Mara likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba,Mjini Musoma mchana huu.

Watu zaidi ya 35 wamepoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio hivi sasa,inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo Basi la J4...

 

10 years ago

Vijimambo

AFISA UHAMIAJI ZANZIBAR, MAHAFOUDH ABDALLAH ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA NAFSAI YA UWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM.

MTIA nia ya kuwania nafsi ya uwakilishi jimbo la Magomeni Mahfudhi Abdalla Mohammed(kushoto)akilipia fedha za fomu hiyo. Kaimu katibu msaidzi wa CCM wilaya ya Amani Asha Mzee (kulia) akimkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Uwakilishi.Mtia nia Mahafoudh Abdalla akionesha fomu hiyo.baada ya kupokea fomu.Baadhi ya wanachma wengine waliojitokeza kuch ukuwa fomu wakionesha fomu zao.(Picha na Ameir Khalid) 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani