Maendeleo ya Msiba wa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Aliefariki Dunia
![](http://4.bp.blogspot.com/-1PDb6PrnmVM/VOXryGtasWI/AAAAAAABlro/FDAQuS3C2ks/s72-c/IMG20150219WA0001.jpg)
Mwili wa marehemu Salmin Awadhi ukipakiwa gari tayari kwa taratibu za mazishi hapo leo, katika makaburi ya makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja, mwili wa marehemu unategemewa kuagwa kesho saa tano katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Chukwani Unguja na kusaliwa katika Masjid Muhammad kwa mchina na kuzikwa Kijiji kwao Makunduchi Unguja
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliofika nyumbani kwao marehemu mtaa wa mpendae...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA
10 years ago
VijimamboLOWASSA ASHIRIKI MAZIKO YA MWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QT3g3yPBx98/VOXQVqq55HI/AAAAAAAHEis/xzyJAKkvlDc/s72-c/IMG-20150219-WA0001.jpg)
BREAKING NYUZZZ...: MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI DUNI GHAFLA MCHANA HUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-QT3g3yPBx98/VOXQVqq55HI/AAAAAAAHEis/xzyJAKkvlDc/s1600/IMG-20150219-WA0001.jpg)
Pichani ni Mwili wa Mwakilishi huyo ukipakiwa kwenye gari ukitolewa kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja kwenda nyumbani kwake kwa matayarisho ya mazishi.
taarifa kamili tutapeana hapo baadae.
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
JK amtumia salamu za rambirambi Dkt. Shein kufuatia kifo cha Mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Zanzibar
Marehemu Mh. Salmin Awadh enzi za uhai wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amempelekea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mheshimiwa Salmin Awadh Salmin, Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni katika Baraza la Wawakilishi na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Baraza hilo.
Mheshimiwa Salmin ambaye alikuwa pia Katibu wa Kamati ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jV_z7kk0xck/VOhcpyjtD_I/AAAAAAAHE8I/VM5azET1eeQ/s72-c/7.jpg)
DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-jV_z7kk0xck/VOhcpyjtD_I/AAAAAAAHE8I/VM5azET1eeQ/s1600/7.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BzboS7J5xCM/VOhcquAzw6I/AAAAAAAHE8U/pgwuZwZrbOI/s1600/8.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gjz5fQe6n9A/VOhcq0XROwI/AAAAAAAHE8Y/TPHj3UQLUbU/s1600/9.jpg)
11 years ago
GPLMWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-E3AWfzx1iz4/VRM_O563aZI/AAAAAAADdn0/i-xt8wis_8w/s72-c/FullSizeRender_2.jpg)
MTANZANIA WA DMV AHANI MSIBA WA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-E3AWfzx1iz4/VRM_O563aZI/AAAAAAADdn0/i-xt8wis_8w/s1600/FullSizeRender_2.jpg)
Alawi (kushoto) akitoa mkono wa pole kwa Bi.Badria(Mama Mzazi wa Ally Mikidadi) siku ya Jumapili March 22, 2015 nyumbani kwa marehemu Magomeni Mapipa jijini Dar Es Salaam, kulia ni Bure mjomba wake Ally Mikidadi na kaka ya Bi. Badria. Ally Mikidadi ni mkazi wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani aliyefiwa na baba yake mzazi nchini Tanzania na misba hapa DMV upo 6200 Ager Road, Hyattsville, Maryland.
![](http://3.bp.blogspot.com/-x61zh9tCGho/VRM_QnsiNwI/AAAAAAADdoM/zfgLvIEVtwY/s1600/FullSizeRender_3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Gk3NmaEga34/VRM_0mGrSSI/AAAAAAADdoc/qIaHhD84U3o/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Zr7BzqETFt4/VRSrx7cgw3I/AAAAAAADds8/YJXZ0MJ4MIA/s72-c/9fb40a31fa4e0c2d5dbfad1140f946ad.jpg)
WANADMV WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA ALLY MIKIDADI MAGOMENI MAPIPA, DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-Zr7BzqETFt4/VRSrx7cgw3I/AAAAAAADds8/YJXZ0MJ4MIA/s1600/9fb40a31fa4e0c2d5dbfad1140f946ad.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-I4En8XQqjvA/VRSrxoVSjuI/AAAAAAADds0/0KXNG3qA8L4/s1600/6710e4e68d59b2cddeaaec007d20a821.jpg)
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
Mwakilishi Jimbo la Kiembe Samaki atimiza ahadi za Kampeni
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (wakatikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe Samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslim na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.
Diwani wa Jimbo la Kiembe samaki Bw. Gharib Mohamed Addy akizungumza na...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10