Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREKING NYUUZZZZZ: WATANGAZAJI DJ FETTY NA ADAM MCHOMVU WA CLOUDS FM WASIKIKA WAKIZICHAPA LIVE REDIONI

Redio ya Clouds FM 88.5 ya Mikocheni jijini Dar es salaam leo imetoa ya mwaka wakati DJ Fetty na Dj Adam Mchomvu waliposikika wakizichapa live wakati kipindi kipo hewani. Juhudi za kuupata uongozi wa Clouds FM zinaendelea kutaka kujua mustakabali wa watangazaji hao maarufu nchini. Hebu sikiliza mambo yalivyokuwa. Bofya mshale mwekundu hapo..

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

TAARIFA KAMILI KUHUSU UGOMVI WA WATANGAZAJI WA XXL, DJ FETTY,MCHOMVU NA B DOZEN

Mara nyingi huko mitaani watu hugombana katika familia,huenda baba akampiga mama hadi kumjeruhi vibaya na pengine hata kumsababisha ,na inawezekana mama huyo alikuwa akipiga makelele ya kuomba msaada na pengine watu walisikia na hawakutoa msaada,Ugomvi uliotokea siku ya Jumatano kwenye XXL Clouds Fm Radio kati ya watangazaji wa kipindi hiki halikuwa tukio la uhalisia kuhamsisha amani katika kampeni ya kuhamasisha Amani,kwa chochote utakachokiona na kuhatarisha amani toa taarifa kwenye vyombo...

 

11 years ago

GPL

RAYMOND MSHANA AMECHUKUA MIKOBA YA B12, MCHOMVU NA DJ FETTY

Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro. HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo kupitia Redio Clouds FM, wakitangaza kipindi cha XXL, Hamisi Mandi ‘B12’ na Adam Mchomvu ‘Baba John’  walisimamishwa kazi kituoni hapo kwa muda usiojulikana. Inaelezwa kuwa, hata yule mtangazaji mwenye sauti yenye mvuto wa aina yake Fatuma Hassan ‘Dj Fetty’ naye yupo...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: ADAM MCHOMVU - A E I O U ft. DOLAFOSALAMITIDO




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

11 years ago

GPL

DIVA, B 12, MCHOMVU ‘OUT’ CLOUDS

Stori:  MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Hamis Mandi ‘B 12’. Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu...

 

11 years ago

GPL

DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS

Loveness Malinzi ‘Diva’. WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha. Hamis Mandi ‘B 12’.…

 

10 years ago

Bongo5

Adam Mchomvu kuzindua video yake mpya Jumapili hii Club Bilz

Mtangazaji mahiri wa kipindi cha XXL na Bongo Flava vya Clouds FM ambaye pia ni rapper, Adam Mchomvu atazindua video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Tiririka’ Jumapili hii. Uzinduzi huo utafanyika kama sehemu ya tamasha la ‘Vitu Fulani Amazing’ Club Bilz zamani Billicanas jijini Dar. Mchomvu atasindikizwa na wasanii kibao wakiwemo Joh Makini, Nick wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani