DIVA, B 12, MCHOMVU ‘OUT’ CLOUDS
![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO6qWze*mnUF6Heu6RMH5beDmgWpmZLtUnkck5wkSsDZ9hBcfFaGRpEYm1SEn*wLikQ0cTo7dQmArg*Wmi0BmJLl/7diva.jpg?width=650)
Stori: MUSA MATEJA WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Hamis Mandi ‘B 12’. Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO66M60WKbqJqohWx5vSxjx3dji4P6bJwMc3aKejIZ2qOPyH7B03xcCExGVGYnrNBj3oZMa9kuFUawKJMYFeTyoi/DivaLovenessLoveMARCH5B15D.jpg?width=650)
DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS
11 years ago
Michuzi02 Jul
BREKING NYUUZZZZZ: WATANGAZAJI DJ FETTY NA ADAM MCHOMVU WA CLOUDS FM WASIKIKA WAKIZICHAPA LIVE REDIONI
10 years ago
Michuzi22 Aug
10 years ago
CloudsFM02 Dec
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka
10 years ago
MichuziTCRA YAKITOZA FAINI KITUO CHA TELEVISHENI CHA CLOUDS TV NA RADIO CLOUDS FM KWA KUKIUKA MAUDHUI YA UTANGAZAJI
9 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-so9sScLVVEY/VjoaF16GBLI/AAAAAAAAD00/-uWGVGpvtsI/s72-c/aeiou%2Bartwork.png)
NEW MUSIC: ADAM MCHOMVU - A E I O U ft. DOLAFOSALAMITIDO
![](http://1.bp.blogspot.com/-so9sScLVVEY/VjoaF16GBLI/AAAAAAAAD00/-uWGVGpvtsI/s640/aeiou%2Bartwork.png)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
VijimamboBARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAMEREMETA
Baraka Betariho na Edith Mchomvu wameremeta baada ya kufunga ndoa ndani ya Chapel Church of Christ Upper Darby, PA. Na kufuatiwa na sherehe ndani ya ukumbi wa St Demetrios Greek Orthodox Church huko huko Philadelphia U.S.A.
Bibi harusi akiwa ng'aring'ari
Bwana harusi na ukodak moment.
Vijana wakismile mbele ya ukodak full kuvunja kabati
10 years ago
CloudsFM02 Oct