BARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAMEREMETA
Baraka Betariho na Edith Mchomvu wameremeta baada ya kufunga ndoa ndani ya Chapel Church of Christ Upper Darby, PA. Na kufuatiwa na sherehe ndani ya ukumbi wa St Demetrios Greek Orthodox Church huko huko Philadelphia U.S.A. Baraka akipata ukodak na mmoja wawapambe wake kwenye harusi hiyoiliyofanyika Upper Darby.
Bibi harusi akiwa ng'aring'ari
Bwana harusi na ukodak moment.
Vijana wakismile mbele ya ukodak full kuvunja kabatiUkishikwa shikamana style ndiyo hii kwa taswira zaidi nenda soma...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBARAKA NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA BYE BYE
BARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA NDANI YA KANISA LA CHAPEL CHURCH OF CHRIST. NA KUFUATIWA NA SHEREHE NDANI YA ST DEMETRIOS GREEK ORTHODOX CHURCH HUKO PHILADELPHIA.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.
Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78975000/jpg/_78975147_78973783.jpg)
VIDEO: Asnaketch, 'Edith Piaf of Ethiopia'
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Edith Emily Mudogo, Diwani kata ya Nyegezi jijini Mwanza ni Kazi Tu
Diwani wa Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Edith Emily Mudogo akiapa jana ili kuwatumikia wananchi wa Kata hiyo katika kikao cha kwanza cha baraza la Madiwani wa halmshauri ya Jiji la Mwanza.
Mudogo ni miongoni mwa Madiwani wachapa kazi ambao wanaendana na Kauli Mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ya “HAPA KAZI TU” hii ikiwa ni kutokana na utendaji wake wa kazi...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-so9sScLVVEY/VjoaF16GBLI/AAAAAAAAD00/-uWGVGpvtsI/s72-c/aeiou%2Bartwork.png)
NEW MUSIC: ADAM MCHOMVU - A E I O U ft. DOLAFOSALAMITIDO
![](http://1.bp.blogspot.com/-so9sScLVVEY/VjoaF16GBLI/AAAAAAAAD00/-uWGVGpvtsI/s640/aeiou%2Bartwork.png)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO66M60WKbqJqohWx5vSxjx3dji4P6bJwMc3aKejIZ2qOPyH7B03xcCExGVGYnrNBj3oZMa9kuFUawKJMYFeTyoi/DivaLovenessLoveMARCH5B15D.jpg?width=650)
DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO6qWze*mnUF6Heu6RMH5beDmgWpmZLtUnkck5wkSsDZ9hBcfFaGRpEYm1SEn*wLikQ0cTo7dQmArg*Wmi0BmJLl/7diva.jpg?width=650)
DIVA, B 12, MCHOMVU ‘OUT’ CLOUDS
10 years ago
CloudsFM02 Oct