BARAKA NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA BYE BYE
BARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA NDANI YA KANISA LA CHAPEL CHURCH OF CHRIST. NA KUFUATIWA NA SHEREHE NDANI YA ST DEMETRIOS GREEK ORTHODOX CHURCH HUKO PHILADELPHIA.BWANA HARUSI NA BI HARUSI WAKIJIANDAA KUKATA CAKE.
BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI WAKIPUNGA MIKONO YAO HEWANI KUASHIRIA UKABELA BYE BYE KIROHO SAFI.
UKODAKI NA MARAFIKI NDANI YA UKUMBI
MARAFIKI WAKIPATA UKODAK WA KUMBUKUMBU NA BWANA HARUSI KWA PICHA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KUPITIA HAPA HAPA VIJIMAMBO LIVE BILA CHENGA.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/10D59/production/_86735986_ebolatwerking.png)
VIDEO: Saying 'Bye Bye' to Ebola with a happy song
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-8u9ykH0wD_Q/VDlWBd9xXMI/AAAAAAADJYQ/Wehn253M1NI/s72-c/IMG-20141011-WA002.jpg)
PITA PITA YA VIJIMAMBO DULLES AIRPORT. VA CASSIM MGANGA TAJIRI WA MAHABA BYE BYE MAREKANI KURUDI BONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-8u9ykH0wD_Q/VDlWBd9xXMI/AAAAAAADJYQ/Wehn253M1NI/s1600/IMG-20141011-WA002.jpg)
Cassim alikuja na Aunt Ezekiel maalum kwa shughuli hizo za Vijimambo zilizo kuwa zimefanyika tarehe 13 mwezi wa tisa na Aunt Ezekiel aliwahi kuondoka na kumuacha Cassim kwa ajili ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-IsOU70ZsQeY/VU5AMzI688I/AAAAAAADmMg/EdzV-hhTeXA/s72-c/IMG-20150509-WA0002.jpg)
10 years ago
VijimamboBARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAMEREMETA
Baraka Betariho na Edith Mchomvu wameremeta baada ya kufunga ndoa ndani ya Chapel Church of Christ Upper Darby, PA. Na kufuatiwa na sherehe ndani ya ukumbi wa St Demetrios Greek Orthodox Church huko huko Philadelphia U.S.A.
Bibi harusi akiwa ng'aring'ari
Bwana harusi na ukodak moment.
Vijana wakismile mbele ya ukodak full kuvunja kabati
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/slaa.jpg)
Bye bye Dk. Slaa
10 years ago
TheCitizen11 Feb
ELAU: Bye Tanzania, it was great knowing you!
9 years ago
TheCitizen02 Nov
Moshi tycoon says bye to politics after loss in polls
10 years ago
TheCitizen14 Feb
Bye Std VII exams, English; Karibu Kiswahili in studies
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.
Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...