LIGI YA TANZANIA VPL HIVI NDIVYO ILIVYOFIKIA MWISHO KILA MTU KAPANDA NA KUVUNA CHAKE TIMU TATU ZA MWISHO BYE BYE

Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBARAKA NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA BYE BYE
BARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA NDANI YA KANISA LA CHAPEL CHURCH OF CHRIST. NA KUFUATIWA NA SHEREHE NDANI YA ST DEMETRIOS GREEK ORTHODOX CHURCH HUKO PHILADELPHIA.
9 years ago
BBC
VIDEO: Saying 'Bye Bye' to Ebola with a happy song
11 years ago
Vijimambo
PITA PITA YA VIJIMAMBO DULLES AIRPORT. VA CASSIM MGANGA TAJIRI WA MAHABA BYE BYE MAREKANI KURUDI BONGO

Cassim alikuja na Aunt Ezekiel maalum kwa shughuli hizo za Vijimambo zilizo kuwa zimefanyika tarehe 13 mwezi wa tisa na Aunt Ezekiel aliwahi kuondoka na kumuacha Cassim kwa ajili ya...
11 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL
Bye bye Dk. Slaa
10 years ago
TheCitizen11 Feb
ELAU: Bye Tanzania, it was great knowing you!
10 years ago
StarTV08 May
Malinzi aagiza usimamizi mechi za mwisho VPL
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewaagiza wasimamizi wa vituo vya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuhakikisha sheria na taratibu zote za mechi zinafuatwa.
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu huu 2014/2015 inafikia tamati kesho (Mei 9, 2015) ambapo timu zote 14 zitakuwa viwanjani katika mechi ambazo ndizo zitakazotoa hatma ya timu zinazoshuka daraja.
Mechi hizo zitakuwa kati ya Ndanda na Yanga (Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara), JKT Ruvu na Simba (Uwanja wa...
10 years ago
Michuzi
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
TheCitizen02 Nov
Moshi tycoon says bye to politics after loss in polls