Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bye bye Dk. Slaa

Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa, (pichani) ambaye amekuwa ni kama alama ya chama hicho, anaweza kuwa ndiyo mwisho wake kufuatia ujio wa Edward Lowassa aliyejiunga Jumanne iliyopita na jana kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia Chadema jijini Dar es Salaam......Soma zaidi===>… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BARAKA NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA BYE BYE


BARAKA BITARIHO NA EDITH MCHOMVU WAUAGA UKAPELA NDANI YA KANISA LA CHAPEL CHURCH OF CHRIST. NA KUFUATIWA NA SHEREHE NDANI YA ST DEMETRIOS GREEK ORTHODOX CHURCH HUKO PHILADELPHIA.BWANA HARUSI NA BI HARUSI WAKIJIANDAA KUKATA CAKE.BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI WAKIPUNGA MIKONO YAO HEWANI KUASHIRIA UKABELA BYE BYE KIROHO SAFI. UKODAKI NA MARAFIKI NDANI YA UKUMBIMARAFIKI WAKIPATA UKODAK WA KUMBUKUMBU NA BWANA HARUSI KWA PICHA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KUPITIA HAPA HAPA VIJIMAMBO LIVE BILA CHENGA.

 

9 years ago

BBC

VIDEO: Saying 'Bye Bye' to Ebola with a happy song

Sierra Leona celebrates with twerking policemen and doctors

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO DULLES AIRPORT. VA CASSIM MGANGA TAJIRI WA MAHABA BYE BYE MAREKANI KURUDI BONGO

Cassim Mganga  akipata ukodak na shabiki wake Simba Sakapala alie msindikiza uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Dulles tayari kwa safari ya kurudi Tanzania. Cassim Mganga alikuwa Marekani kwa Mwaliko maalum na namba moja blog Marekani Vijimambo kwenye sherehe zake za kutimiza miaka minne toka blog hiyo kuanzishwa.
 Cassim alikuja na Aunt Ezekiel maalum kwa shughuli hizo za Vijimambo zilizo kuwa zimefanyika tarehe 13 mwezi wa tisa na Aunt Ezekiel aliwahi kuondoka na kumuacha Cassim kwa ajili ya...

 

10 years ago

TheCitizen

ELAU: Bye Tanzania, it was great knowing you!

>Early in January 2013, I saw a life-changing advert in a leading Ugandan newspaper. It was calling for applications from suitably qualified Ugandans to apply for a Master of Laws scholarship at the University of Dar es Salaam’s Tanzanian German Centre for Legal Studies.

 

9 years ago

TheCitizen

Moshi tycoon says bye to politics after loss in polls

A prominent businessman, who unsuccessfully contested the Moshi Urban parliamentary seat on the Chama cha Mapinduzi (CCM) ticket during last week’s General Election, has said goodbye to politics.

 

10 years ago

TheCitizen

Bye Std VII exams, English; Karibu Kiswahili in studies

>The newly-launched education system has abolished national examinations for primary school leavers and extended basic education to four years at secondary level—meaning students will sit their final examination after 11 years in primary and secondary school.

 

9 years ago

Vijimambo

MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA


Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani