Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malinzi aagiza usimamizi mechi za mwisho VPL

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewaagiza wasimamizi wa vituo vya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuhakikisha sheria na taratibu zote za mechi zinafuatwa.

 

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu huu 2014/2015 inafikia tamati kesho (Mei 9, 2015) ambapo timu zote 14 zitakuwa viwanjani katika mechi ambazo ndizo zitakazotoa hatma ya timu zinazoshuka daraja.

 

Mechi hizo zitakuwa kati ya Ndanda na Yanga (Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara), JKT Ruvu na Simba (Uwanja wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

5 years ago

Michuzi

BANDARI KAVU KWALA MBIONI KUKAMILIKA ,NDITIYE AAGIZA USIMAMIZI KAMILIFU


NA MWAMVUA MWINYI,PWANI .
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye amesema ,ujenzi wa mradi wa bandari kavu Kwala,Kibaha mkoani Pwani ni utekelezaji wa maagizo ya Rais dkt.John Magufuli ya kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Kutokana na hilo ,Nditiye ameitaka Bodi ya Bandari kusimamia kikamilifu na kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa asilimia 100 ifikapo mwezi Juni 2020. Aliyasema hayo ,wakati wa mapokezi ya Treni ya kwanza iliyoleta makasha 20 kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Niwe wa mwisho kumpa 5 Malinzi

TANGU uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi uingie madarakani, umekuwa ukifanya hiki na kile kwa lengo la kuyafikia malengo yake ya kuinua kiwango...

 

11 years ago

Michuzi

balozi seif aagiza usimamizi wa makubaliano kati ya mwekezaji wa hoteli ya sea cliff na wanakijiji

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameuagiza Uongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Unguja pamoja na Wilaya ya Kaskazini “B” kusimamia ipasavyo makubaliano yaliyofikiwa kati ya Muwekezaji wa Hoteli ya Kimataifa ya Sea Cliff iliyopo katika Kijiji cha Kama na Wananchi wa Vijiji vinavyoizunguuka Hoteli hiyo.  Amesema makubaliano hayo yalifikiwa na pande hizo mbili kufutia Vikao mbali mbali vilivyokuwa vikiendelea vya kutafuta maridhiano ambapo yeye binafsi alikuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi: Kamwe Taifa Stars haitajitoa mechi za kimataifa

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema Tanzania haiwezi kujitoa kwenye mashindano kwa sasa kuhofia rungu la Shirikisho la Soka Ulimwenguni (Fifa).

 

11 years ago

Michuzi

VIINGILIO MECHI ZA TAIFA STARS SASA KARIBU NA BURE - MALINZI


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM JAMAL Malinzi, rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kwamba kuanzia sasa viingilio vya mechi za timu ya taifa, Taifa Stars kwa maeneo yasiyo ya VIP vitakuwa vya bei nafuu ili kutoa fursa kwa watu wengi kwenda kuishangilia timu hiyo.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam, Malinzi amesema kwamba wamejifunza hilo kutoka kwa Zimbabwe ambao kwenye mechi za timu ya taifa viingilio vya eneo la mzunguko huwa vya chini mno.
“Tumeona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani