Briana Kagemuro ashika nafasi ya Pili Kombe laTennis-Washington DC
Mtoto Briana Kagemuro(kulia) , amekuwa mshindi wa pili wa mpira wa Tennis katika kombe la Spring-lililofanyika SE Tennis Center Washington DC. Jumamosi iliyopita. Briana alipata ushindi wa pili baada ya kuwashinda wapinzani wake nane katika michuano hiyo na kupoteza kwa mpinzani mmoja Kijana Deleo.Ushindi huo umempatia mtoto Briana kuingia katika Michuano ya kitaifa Kanda zote Marekani kwa Mpira wa Kijani wa Tennis.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Dkh13Rezsao/Vf3488ulEHI/AAAAAAAD7yU/GJ0Eon30ngg/s72-c/CAM00921.jpg)
BRIANA NA BRYAN WANYAKUA KOMBE KATIKA MCHEZO WA TENNIS MASHINDANO YA SETLC FALL JR. OPEN 2015 WASHINGTON, DC
Briana Kagemuro alikuwa katika kinyanganyiro cha Wasichana wenye umri wa miaka 12 Singles (Girls 12 singles) ambapo alimshida Isabella De Leo 6-4,6-4; Cassi Chen 7-6,6-3,10-6 na Asha verma 6-4,6-4.
Naye Bryan Mwombeki alipata kombe lake la ushindi...
9 years ago
Bongo513 Dec
Vanessa Mdee ashika nafasi ya pili kwenye orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike walio juu Afrika
![12346294_444980479044924_1318155553_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346294_444980479044924_1318155553_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa.
Ndio muimbaji wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika nzima.
MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.
Orodha hiyo ni:
1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Hesabu kali ya nafasi ya pili
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/gaCSH3S-ev4/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CqS1OBCzBfKfVG6MWerGTW1ZK2EaOkLl6rFH8QLyKNdj-2dFZ5hfJ5jID37FMTWcQ9qGfHYmFIcRKUHf70TzNxz/1.jpg)
UHOLANZI YASHIKA NAFASI YA 3 KOMBE LA DUNIA 2014
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y0EK4KOiKns/U4hJ3cb2OUI/AAAAAAAFmdU/xoVL004yy9Y/s72-c/4.jpg)
TIMU YA U15 TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI AYG
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y0EK4KOiKns/U4hJ3cb2OUI/AAAAAAAFmdU/xoVL004yy9Y/s1600/4.jpg)
Mechi hiyo ilichezwa Uwanja wa SSKB jijini Gaborone ambapo kwa matokeo hayo Tanzania imetwaa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili. Nigeria ndiyo ilishika nafasi ya kwanza na kutwaa medali ya dhahabu.
Tanzania imemaliza ikiwa na pointi kumi ambapo ilishinda mechi tatu,...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-EN1Io4j8RAs/Xvdw_d7FCWI/AAAAAAADdgU/52s46Ef3TCMWhLdFwFRP6nSHXWmj2uz0ACNcBGAsYHQ/s72-c/1.jpeg)
YANGA YAWACHAPA NDANDA 3-2 NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU
Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM
VIGOGO Yanga SC wametokea nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Ndanda SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unairejesha Yanga SC nafasi ya pili, ikifikisha pointi 60 katika mchezo wa 32, sasa inazidiwa pointi 18 na mabingwa watetezi, SImba SC ambao wana mechi moja mkononi.
Katika mchezo wa leo uliochezeshwa na refa Raphael Ikambi wa Morogoro aliyesaidiwa na Sunday Komba wa Kilimanjaro na Credo Mbuya wa Mbeya,...
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Tanzania yashika nafasi ya pili katika malipo kupitia simu za mkononi
Kumiliki simu ya mkononi imekuwa si jambo la starehe kama miaka ya nyuma ilivyokuwa inasadikika. Kadri miaka inavyozidi kwenda kumekuwa na matoleo mapya ya simu za mkononi na huduma za kipekee zilizo na manufaa kwa jamii.
Meneja mkazi wa JovagoTanzania, Bw.Andrea Guzzoni amefafanua kwamba “kadri matumizi ya simu za kisasa yanavyoongezeka, kunakuwa na huduma tofauti za malipo kupitia simu za mkononi (Online payments), malipo haya yameongezeka kwa kasi kubwa kupitia Mpesa, Tigopesa, Airtel...
9 years ago
Bongo521 Oct
Selena Gomez aongoza chart za Billboard 200, The Game akamata nafasi ya pili