BSS yatoa washiriki wengine watatu
JULIET MORI (TUDARCO)
WASHIRIKI watatu, Lawrence Rena na Favolii Baila wa Dar es Salaam na mmoja kutoka Mwanza, Alice Kashumba, wameaga shindano la Bongo Star Search usiku wa jana.
Alice alisema alijitahidi kuimba kwa kiwango cha juu lakini kwa kuwa hayo ni mashindano amekubaliana na matokeo.
“Kuna mengi nimejifunza kwenye shindano hilo, naamini nimeonyesha uwezo wangu na Watanzania wameona, nashukuru sana kwa hatua hii na ninawatakia heri washiriki waliobaki,” alisema Alice.
Jaji Mkuu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWASHIRIKI BSS WAMHOFIA SALAMA
9 years ago
Mtanzania21 Sep
BSS yabaki na washiriki kumi bora
NA HERIETH FAUSTINE
SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) limefikia hatua ya kumi bora baada ya washiriki wengine wawili kuyaaga mashindano hayo.
Katika shindano hilo linalodhaminiwa na Salama Condom na kinywaji cha Coca Cola, washiriki wawili walioaga mashindano hayo jana ni Chief Agala kutokea Arusha na Amina Issa wa Mwanza.
Jaji Mkuu wa BSS, Ritha Paulsen, alisema washiriki wote wanaweza kuimba, kucheza na kumiliki jukwaa na kilichobaki kwa sasa zitawekwa namba kwenye magazeti za washiriki...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-24idCbnicDk/VaymUP6MKWI/AAAAAAAHqng/SEzPU1uL0rE/s72-c/unnamed%2B%252893%2529.jpg)
Bongo Star search (BSS) yatoa sita bora jijini Mwanza
![](http://1.bp.blogspot.com/-24idCbnicDk/VaymUP6MKWI/AAAAAAAHqng/SEzPU1uL0rE/s640/unnamed%2B%252893%2529.jpg)
Kipindi kitakuwa kinaruka kila siku ya Jumapili, saa tatu kamili kwenye vituo vya televisheni vya Clouds Tv na Star Tv na marudio yake; Kwa Clouds Tv ni Jumanne saa tano kamili asubuhi pamja na Alhamisi saa nane kamili mchana; Kwa StarTV ni Alhamisi saa...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Waziri Mkuu awasimamisha kazi watumishi wengine watatu TRA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Hr0EPiTBm9k/VlmJ9mCTGBI/AAAAAAAIIvM/N95av0kMIbE/s72-c/kassim.jpg)
NEWS ALERT: WATUMISHI WENGINE WATATU WASIMAMISHWA KAZI TRA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Hr0EPiTBm9k/VlmJ9mCTGBI/AAAAAAAIIvM/N95av0kMIbE/s400/kassim.jpg)
Uamuzi huo umetolewa leo (Jumamosi, Novemba 28, 2015), na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazowakabili. Kama ilivyo kwa wenzao sita waliosimamishwa kazi jana (akiwemo aliyekuwa Kamishna Mkuu), nao pia hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Ajali ya malori yaua watu wawili, kujeruhi wengine watatu Bagamoyo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wxvgi3NTzMk/U5gsh3OGlXI/AAAAAAAFpwA/AGX3nseXeZI/s72-c/azjh+(435).jpg)
Watu watatu wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili
![](http://1.bp.blogspot.com/-wxvgi3NTzMk/U5gsh3OGlXI/AAAAAAAFpwA/AGX3nseXeZI/s1600/azjh+(435).jpg)
Watu watatu wamefariki Dunia baada ya Magari mawili yenye tela kila moja kuacha njia na kupinduka na kufasabisha vifo vya watu hao na kujeruhi wengine wawili katika ajali iliyotokea Jana Huko Tarafa ya Rondo wilaya ya Lindi Mkoani Lindi.
Ajali hiyo Iliyohusisha gari aina ya HOWO lenye Usajili T270BZU na Tela na T260AZU Pamoja na Lori aina HOWO T871 BTH Tela T 626 BTT yote yaliacha njia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi kamishna msaidizi Renatha Mzinga amethibitsha...
10 years ago
Bongo501 Dec
BBA Hotshots: Uganda na wengine watatu wafungasha virago, Idris aendelea kupeta
11 years ago
Michuzi20 Jul
HOFU YATANDA KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS, HUKU WENGINE WAKITAMANI WIKI IJAYO ISIFIKE