BSS yabaki na washiriki kumi bora
NA HERIETH FAUSTINE
SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) limefikia hatua ya kumi bora baada ya washiriki wengine wawili kuyaaga mashindano hayo.
Katika shindano hilo linalodhaminiwa na Salama Condom na kinywaji cha Coca Cola, washiriki wawili walioaga mashindano hayo jana ni Chief Agala kutokea Arusha na Amina Issa wa Mwanza.
Jaji Mkuu wa BSS, Ritha Paulsen, alisema washiriki wote wanaweza kuimba, kucheza na kumiliki jukwaa na kilichobaki kwa sasa zitawekwa namba kwenye magazeti za washiriki...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWASHIRIKI BSS WAMHOFIA SALAMA
9 years ago
Mtanzania14 Sep
BSS yatoa washiriki wengine watatu
JULIET MORI (TUDARCO)
WASHIRIKI watatu, Lawrence Rena na Favolii Baila wa Dar es Salaam na mmoja kutoka Mwanza, Alice Kashumba, wameaga shindano la Bongo Star Search usiku wa jana.
Alice alisema alijitahidi kuimba kwa kiwango cha juu lakini kwa kuwa hayo ni mashindano amekubaliana na matokeo.
“Kuna mengi nimejifunza kwenye shindano hilo, naamini nimeonyesha uwezo wangu na Watanzania wameona, nashukuru sana kwa hatua hii na ninawatakia heri washiriki waliobaki,” alisema Alice.
Jaji Mkuu wa...
9 years ago
Mtanzania20 Aug
20 bora ya BSS yaingia kambini
NA MWANDISHI WETU
WASHIRIKI 20 waliochaguliwa kutoka mikoa minne ya shindano la Bongo Star Search (BSS), wameingia kambini kwa ajili ya shindano hilo.
Shindano hilo linaendeshwa na Benchmark Production chini ya udhamini wa Salama Condom na Kampuni ya Coca Cola, linawakutanisha wasanii kutoka mkoa wa Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa shindano hilo, Ritha Paulsen, alisema wasanii hao watafundishwa kuimba, kutafuta pumzi, kutumia vyombo vya muziki, kujua namna ya kujiweka na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-24idCbnicDk/VaymUP6MKWI/AAAAAAAHqng/SEzPU1uL0rE/s72-c/unnamed%2B%252893%2529.jpg)
Bongo Star search (BSS) yatoa sita bora jijini Mwanza
![](http://1.bp.blogspot.com/-24idCbnicDk/VaymUP6MKWI/AAAAAAAHqng/SEzPU1uL0rE/s640/unnamed%2B%252893%2529.jpg)
Kipindi kitakuwa kinaruka kila siku ya Jumapili, saa tatu kamili kwenye vituo vya televisheni vya Clouds Tv na Star Tv na marudio yake; Kwa Clouds Tv ni Jumanne saa tano kamili asubuhi pamja na Alhamisi saa nane kamili mchana; Kwa StarTV ni Alhamisi saa...
10 years ago
Mwananchi21 Apr
UDSM kumi bora vyuo vikuu Afrika
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Shule kumi bora zilitarajia matokeo haya
10 years ago
Vijimambo22 Sep
MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Serikali yaipongeza Tusiime kuingia kumi bora kitaifa
SERIKALI imeipongeza shule ya Tusiime kwa kuwa shule pekee kutoka Mkoa wa Dar es salaam iliyoingia kwenye kumi bora kitaifa na kufaulisha wafunzi wote 168 kwa alama A na kuongoza katika mkoa...