Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule kumi bora zilitarajia matokeo haya

Ingekuwa jambo la kushangaza kusikia Shule ya Sekondari ya Chongoleani imeibuka mshindi wa kwanza katika matokeo ya kidato cha nne mwaka huu. Hii ni kwa sababu matatizo yake yanajulikana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

9 years ago

Mwananchi

Haya ni matokeo ya kukiuka utaratibu

Tarehe 8 Mei, 2015 viongozi wakuu wa vyama vitatu vya siasa nchini Uingereza  Nigel Farage wa UKIP, Nick Clegg wa Liberal Democrats na Ed Miliband wa Labour walitangaza kujiuzulu nyadhifa  zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Matokeo haya ya udiwani, wapinzani wajitafakari

>Uchaguzi wa madiwani uliofanyika hivi karibuni katika kata 27 nchini, umezua majonzi ndani ya vyama vya upinzani, na hasa Chadema baada ya kuambulia kata tatu.

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya

Mechi zingine za ligi ya mabingwa Ulaya kwa michezo ya Kundi E, F, G na H zimechezwa na haya ni matokeo ya mechi zote za September 16. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni matokeo ya mechi za UEFA Champions League

Michuano ya UEFA Champions League iliendelea usiku wa Jumatano kuamkia Alhamis ambapo ilipigwa michezo minane (8). Haya ndio matokeo ya mechi hizo zilizochezwa kwenye viwanja vinane tofauti. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Mtanzania

BSS yabaki na washiriki kumi bora

Madam-RitaNA HERIETH FAUSTINE

SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) limefikia hatua ya kumi bora baada ya washiriki wengine wawili kuyaaga mashindano hayo.

Katika shindano hilo linalodhaminiwa na Salama Condom na kinywaji cha Coca Cola, washiriki wawili walioaga mashindano hayo jana ni Chief Agala kutokea Arusha na Amina Issa wa Mwanza.

Jaji Mkuu wa BSS, Ritha Paulsen, alisema washiriki wote wanaweza kuimba, kucheza na kumiliki jukwaa na kilichobaki kwa sasa zitawekwa namba kwenye magazeti za washiriki...

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, October 20

Michuano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya imeendelea October 20 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka ni kati ya Arsenal dhidi ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]

 

10 years ago

Mwananchi

Matokeo haya kidato cha nne yanatufunza nini?

Jumamosi iliyopita, Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani