WASHIRIKI BSS WAMHOFIA SALAMA
Baadhi ya washiriki wa BSS wakiwa kwenye foleni. Kushoto ni Jaji Rita Paulsen akiwa na Joachim Kimaro ‘Master Jay’. Mmoja kati ya majaji wa BSS Salama Jabri akifuatilia jambo.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Sep
BSS yabaki na washiriki kumi bora
NA HERIETH FAUSTINE
SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) limefikia hatua ya kumi bora baada ya washiriki wengine wawili kuyaaga mashindano hayo.
Katika shindano hilo linalodhaminiwa na Salama Condom na kinywaji cha Coca Cola, washiriki wawili walioaga mashindano hayo jana ni Chief Agala kutokea Arusha na Amina Issa wa Mwanza.
Jaji Mkuu wa BSS, Ritha Paulsen, alisema washiriki wote wanaweza kuimba, kucheza na kumiliki jukwaa na kilichobaki kwa sasa zitawekwa namba kwenye magazeti za washiriki...
9 years ago
Mtanzania14 Sep
BSS yatoa washiriki wengine watatu
JULIET MORI (TUDARCO)
WASHIRIKI watatu, Lawrence Rena na Favolii Baila wa Dar es Salaam na mmoja kutoka Mwanza, Alice Kashumba, wameaga shindano la Bongo Star Search usiku wa jana.
Alice alisema alijitahidi kuimba kwa kiwango cha juu lakini kwa kuwa hayo ni mashindano amekubaliana na matokeo.
“Kuna mengi nimejifunza kwenye shindano hilo, naamini nimeonyesha uwezo wangu na Watanzania wameona, nashukuru sana kwa hatua hii na ninawatakia heri washiriki waliobaki,” alisema Alice.
Jaji Mkuu wa...
11 years ago
MichuziMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA WASHIRIKI TAMASHA LA MICHEZO DAR LIVE
Tamasha hilo liliandaliwa na kuratibiwa na klabu ya Magenge ishirini na mianzini kwa kushirikisha klabu mbalimbali kama last jogging, Temeke family, kingugi, Respect na nyingine nyingi. Tamasha hilo lilidhaminiwa na Global publisher, PSPF, Akiba Commercila Bank na Damu salama ambapo...
9 years ago
Mtanzania24 Aug
10 wapunguzwa BSS
WASHIRIKI 10 waliokuwa katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Stars Search 2015 (BSS), wameaga rasmi usiku wa kuamkia leo.
Washiriki hao walioagwa ni Evance Ernest, Khalid Iddy, Jabu Msangi, Mango Joshua na Jerome Benedicto kutokea Dar es Salaam.
Wengine ni Elisia Moshi, Christina Mbonde wa Mbeya na Ally Kala wa Mwanza na Gervas Miovela wa Arusha.
Majaji wa shindano hilo ambao ni Ritha Paulsen, Master Jay na Salama Jabir, ndio waliohusika katika mchujo huo.
“Kwa kuwa mwisho wa siku...
9 years ago
Daily News07 Sep
Four exit 2015 BSS
Four exit 2015 BSS
Daily News
FOUR contestants in the Bongo Star Search (BSS) have been disqualified from the contest. They are Greylove Mwidunda, Sarah Jackson and Nassor Amry from Dar es Salaam and Mbeya's Bezalel Nataaniel. The quartet did not impress the judges as they ...
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Wanne wapunguzwa BSS
NA MWANDISHI WETU
WASHIRIKI kutoka Dar es Salaam, Greylove Mwidunda, Sarah Jackson na Nassor Amry pamoja na mshiriki kutoka Mkoa wa Mbeya, Bezalel Nataaniel, wameaga shindano la kusaka vipaji vya wanamuziki Bongo Star Search (BSS).
Kutolewa kwa washiriki hao wanne kumefanya shindano hilo libakiwe na washiriki 15 wanaoendelea na kambi.
Jaji Mkuu wa shindano hilo, Ritha Paulsen, alisema washiriki waliotolewa walikuwa na kasoro ndogondogo katika uimbaji ikilinganishwa na washiriki...
9 years ago
GPLMSHINDI WA BSS AONGEZEWA SH. MIL 10
9 years ago
Habarileo25 Aug
10 wachujwa shindano la BSS 2015
WASHIRIKI 10 mwishoni mwa wiki walishindwa kung’ara katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka huu na hivyo kuaga shindano hilo.
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Ushindi BSS ni nyimbo maarufu tu