10 wapunguzwa BSS
WASHIRIKI 10 waliokuwa katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Stars Search 2015 (BSS), wameaga rasmi usiku wa kuamkia leo.
Washiriki hao walioagwa ni Evance Ernest, Khalid Iddy, Jabu Msangi, Mango Joshua na Jerome Benedicto kutokea Dar es Salaam.
Wengine ni Elisia Moshi, Christina Mbonde wa Mbeya na Ally Kala wa Mwanza na Gervas Miovela wa Arusha.
Majaji wa shindano hilo ambao ni Ritha Paulsen, Master Jay na Salama Jabir, ndio waliohusika katika mchujo huo.
“Kwa kuwa mwisho wa siku...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Wanne wapunguzwa BSS
NA MWANDISHI WETU
WASHIRIKI kutoka Dar es Salaam, Greylove Mwidunda, Sarah Jackson na Nassor Amry pamoja na mshiriki kutoka Mkoa wa Mbeya, Bezalel Nataaniel, wameaga shindano la kusaka vipaji vya wanamuziki Bongo Star Search (BSS).
Kutolewa kwa washiriki hao wanne kumefanya shindano hilo libakiwe na washiriki 15 wanaoendelea na kambi.
Jaji Mkuu wa shindano hilo, Ritha Paulsen, alisema washiriki waliotolewa walikuwa na kasoro ndogondogo katika uimbaji ikilinganishwa na washiriki...
9 years ago
BBCSwahili06 Sep
Ukarimu wa kupokea wahamiaji wapunguzwa
9 years ago
Daily News07 Sep
Four exit 2015 BSS
Daily News
FOUR contestants in the Bongo Star Search (BSS) have been disqualified from the contest. They are Greylove Mwidunda, Sarah Jackson and Nassor Amry from Dar es Salaam and Mbeya's Bezalel Nataaniel. The quartet did not impress the judges as they ...
9 years ago
Habarileo25 Aug
10 wachujwa shindano la BSS 2015
WASHIRIKI 10 mwishoni mwa wiki walishindwa kung’ara katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka huu na hivyo kuaga shindano hilo.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U-QNuL7WAxmQMls22R4tr*nXUdo15BMlONmeH2vvuHMPtxIwl7xnvxr-OXvKY3mFilbHV8WkFgnMIbVWsazNgO51e85Aaod9/IMG20150914WA0002.jpg?width=650)
PENNY AANGUA KILIO BSS
9 years ago
Mtanzania20 Aug
20 bora ya BSS yaingia kambini
NA MWANDISHI WETU
WASHIRIKI 20 waliochaguliwa kutoka mikoa minne ya shindano la Bongo Star Search (BSS), wameingia kambini kwa ajili ya shindano hilo.
Shindano hilo linaendeshwa na Benchmark Production chini ya udhamini wa Salama Condom na Kampuni ya Coca Cola, linawakutanisha wasanii kutoka mkoa wa Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa shindano hilo, Ritha Paulsen, alisema wasanii hao watafundishwa kuimba, kutafuta pumzi, kutumia vyombo vya muziki, kujua namna ya kujiweka na...
10 years ago
GPLWASHIRIKI BSS WAMHOFIA SALAMA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/17.jpg)
MSHINDI WA BSS AONGEZEWA SH. MIL 10
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Usaili BSS mikoa minne
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MSIMU wa tisa wa shindano la kusaka vipaji vya kuimba, maarufu kama ‘Bongo Star Search’ unatarajia kuanza rasmi mwezi ujao, ambapo kwa mwaka huu usaili utafanyika katika mikoa minne tu.
Akizungumza jijini jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoandaa shindano hilo, Rita Paulsen, alisema mwaka huu watafanya usaili katika mikoa minne, baada ya kufanya uchunguzi na kugundua washiriki wanajirudia katika mikoa yote.
“Mwaka huu usaili tutaufanya...