Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHINDI WA BSS AONGEZEWA SH. MIL 10

:Jaji Mkuu wa Mashindano ya Bongo Star Search ‘BSS’, Ritha Poulsen ‘Madam Ritha’, akielezea mipango ya  fainali ya mashindano hayo itakavyokuwa siku ya Ijumaa Oktoba 9 mwaka huu katika Ukumbi wa  King Solomon Hall uliopo eneo la Namanga Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mmoja wa washiriki wa shindano hilo, Nassib Fonabo, akiimba kwenye kikao hicho.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KAYUMBA JUMA AIBUKA MSHINDI BSS, ALAMBA MIL 50

Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Kayumba Juma (katika), akiwa ameshikilia fedha zake muda mfupi baada ya kuibuka kidedea kwenye fainali hizo zilizokuwa zikifanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa King Solomoni uliopo Namanga jijini Dar es Salaa. Jaji Mkuu wa mashindano hayo, Madam Rita (wa pili kutoka kushoto), akimtangaza mshindi huyo. Washiriki waliongia kwenye 6 bora ya mashindano hayo wakiwa jukwaani...

 

9 years ago

Mwananchi

Kayumba Juma aibuka mshindi BSS, alamba Sh50m

Kayumba Juma wa jijini Dar es Salaam jana usiku aliibuka mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya muziki la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka 2015 baada ya kuwabwaga washiriki wengine watano waliofika hatua ya fainali, hivyo kutwaa kitita cha Sh50 milioni.

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA BSS MWAKA 2013 ATINGA GLOBAL PUBLISHERS

Mshindi wa BSS 2014 Emmanueli Msuya akiwa katika mahojiano katika ofisi ya globalpublishers ....Emanueli Msuya akifanunua jambo alipokuwa akifanya interview ndani ya ofisi za globalpublishers .......Emanueli Msuya akiwa na mfanyakazi wa Globalpublishers bwana Musa Mateja.…

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mshindi wa milioni 60 za BSS 2015 kujulikana Ijumaa hii

Mashindano ya kusaka vipaji vya muziki nchini Tanzania kwa mara ya nane mfululizo, Bongo Star Search (BSS) yatafika tamati Ijumaa hii ambapo mshindi atajishindia shilingi milioni 60. Jaji Mkuu wa shindano hilo, Rita Paulsen Washiriki walioingia 6 bora na wanaohitaji kura za wananchi ili kushinda ni Frida Amani BSS 106, Kayumba Juma BSS 116, Anger […]

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI SHONZA AIPA MWEZI MMOJA KAMPUNI YA BENCMARK 360 LTD KUMLIPA MSHINDI WA MASHINDANO YA BSS 2019

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 08/04/2020 ofisini kwake jijini Dodoma ambapo ameitaka kampuni ya Benchmark 360 Ltd ambao ni waandaji wa mashindano ya kutafuta vipaji vya muziki ya Bongo Star Search (BSS) kumlipa mshindi wa mashindano ya BSS 2019 Ndg. Meshack Fukuta ndani ya mwezi mmoja kuanzia leo.

Meshack aliibuka mshindi kwenye mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo kampuni ya...

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MIL 10 WA CHAMPIONI MAHELA APATIKANA

MC Chaku (kushoto) akiwa na mmoja ya mkazi wa mbagala tiyari kwa kuchagua mshindi wa Championi Shinda Mahela. ...Kuponi za Championi Shinda Mahela.…

 

10 years ago

Mwananchi

Mshindi Miss Tanzania kuzoa Sh18 mil

Baada ya ubishi wa kisheria mahakamani, sasa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania mwaka 2014 yatafanyika Jumamosi kama ilivyopangwa na mshindi atazawadiwa Sh18 milioni.

 

9 years ago

Global Publishers

M-BET yakabidhi mil. 17 mshindi michezo ya kubahatisha

M-BET (1)

Mkurugenzi wa M-BET Dhiresh Kaba (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya zaidi ya sh. milioni 17 Kiboko Isomba Samaki baada ya kubahatika kushinda kupitia moja ya michezo inayoratibiwa na kampuni hiyo.   Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Tarimba Abbas, akishuhudia zoezi hilo.

M-BET (2)

Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Tarimba Abbas, akiongea jambo mbele ya wanahabari kwenye makabidhiano ya hundi hiyo.

M-BET (3)

Mshindi wa milioni 17, Kiboko Isomba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani