Kayumba Juma aibuka mshindi BSS, alamba Sh50m
Kayumba Juma wa jijini Dar es Salaam jana usiku aliibuka mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya muziki la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka 2015 baada ya kuwabwaga washiriki wengine watano waliofika hatua ya fainali, hivyo kutwaa kitita cha Sh50 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/117.jpg)
KAYUMBA JUMA AIBUKA MSHINDI BSS, ALAMBA MIL 50
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Kayumba wa TMK alamba Sh60m za BSS
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Kayumba ashinda BSS 2015
9 years ago
Bongo511 Dec
Kayumba wa BSS kuweka kambi Afrika Kusini
![Kayumba akikabidhiwa zawadi kutoka kwa wadhamini wa shindano hilo.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Kayumba-akikabidhiwa-zawadi-kutoka-kwa-wadhamini-wa-shindano-hilo.-300x194.jpg)
Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma anasafiri usiku wa Ijumaa hii kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya.
Muimbaji huyo ambaye alijinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkubwa, atasafiri akiwa pamoja na timu ya BSS ikiongozwa na mkurugenzi wake Madam Rita.
Akizungumza na Bongo5 leo mmoja kati ya viongozi wa msanii huyo, Said Fella, amesema kila...
9 years ago
TheCitizen16 Oct
Kayumba, the teen who defied odds to win BSS
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!
Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja […]
The post Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/17.jpg)
MSHINDI WA BSS AONGEZEWA SH. MIL 10
10 years ago
GPLMSHINDI WA BSS MWAKA 2013 ATINGA GLOBAL PUBLISHERS