Picha: Kayumba ashinda BSS 2015
Mwimbaji kutoka Temeke jijini Dar es Salaam, Kayumba Juma amejinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015 katika kilele cha shindano hilo kilichofanyika Ijumaa hii kwenye ukumbi wa King Solomon, Dar. Mshindi wa Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma akiomba dua baada ya kutangazwa kuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Kayumba wa TMK alamba Sh60m za BSS
10 years ago
TheCitizen16 Oct
Kayumba, the teen who defied odds to win BSS
9 years ago
Bongo511 Dec
Kayumba wa BSS kuweka kambi Afrika Kusini

Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma anasafiri usiku wa Ijumaa hii kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya.
Muimbaji huyo ambaye alijinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkubwa, atasafiri akiwa pamoja na timu ya BSS ikiongozwa na mkurugenzi wake Madam Rita.
Akizungumza na Bongo5 leo mmoja kati ya viongozi wa msanii huyo, Said Fella, amesema kila...
10 years ago
GPL
KAYUMBA JUMA AIBUKA MSHINDI BSS, ALAMBA MIL 50
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Kayumba Juma aibuka mshindi BSS, alamba Sh50m
10 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Mshindi wa milioni 60 za BSS 2015 kujulikana Ijumaa hii
10 years ago
Habarileo11 Oct
Kayumba ashinda Bongo Star Search
MSHIRIKI kutoka Dar es Salaam, Kayumba Juma ameibuka mshindi wa shindano la Bongo Star Search na kujinyakulia Sh milioni 50 na mkataba wa kusimamiwa kazi zake za sanaa wa thamani ya Sh milioni 10.
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!
Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja […]
The post Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !! appeared first on TZA_MillardAyo.