Kayumba wa TMK alamba Sh60m za BSS
Kijana mwenye umri wa miaka 19, Kayumba Juma alilala masikini na kuamka tajiri usiku wa kuamkia Jumamosi baada ya kushinda kitita cha Sh60 milioni baada ya kuibuka mshindi wa shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Kayumba Juma aibuka mshindi BSS, alamba Sh50m
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/117.jpg)
KAYUMBA JUMA AIBUKA MSHINDI BSS, ALAMBA MIL 50
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Kayumba ashinda BSS 2015
9 years ago
Bongo511 Dec
Kayumba wa BSS kuweka kambi Afrika Kusini
![Kayumba akikabidhiwa zawadi kutoka kwa wadhamini wa shindano hilo.](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Kayumba-akikabidhiwa-zawadi-kutoka-kwa-wadhamini-wa-shindano-hilo.-300x194.jpg)
Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) 2015, Kayumba Juma anasafiri usiku wa Ijumaa hii kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya video ya wimbo wake mpya.
Muimbaji huyo ambaye alijinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 baada ya kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkubwa, atasafiri akiwa pamoja na timu ya BSS ikiongozwa na mkurugenzi wake Madam Rita.
Akizungumza na Bongo5 leo mmoja kati ya viongozi wa msanii huyo, Said Fella, amesema kila...
9 years ago
TheCitizen16 Oct
Kayumba, the teen who defied odds to win BSS
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!
Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja […]
The post Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !! appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
TheCitizen30 May
Official in trouble over Sh60m
10 years ago
TheCitizen03 Dec
Safari firms donate Sh60m