Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushindi BSS ni nyimbo maarufu tu

Wako waliotarajia na wako ambao hawakumpa kabisa nafasi, lakini Kayumba Juma ndiye aliyefanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki na kushawishi majaji kuwa ndiye aliyestahili kubeba taji la shindano ya Bongo Star Search 2015.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Polisi ya Rwanda inasema msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo amejinyonga

Kwa mjibu wa tangazo la polisi maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alimokuwa anazuiliwa kwenye kituo cha polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali.

 

9 years ago

Bongo5

Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi

wakazi2

Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.

wakazi2

Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.

“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...

 

9 years ago

Bongo5

Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya

Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]

 

9 years ago

Mtanzania

10 wapunguzwa BSS

BSSWASHIRIKI 10 waliokuwa katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Stars Search 2015 (BSS), wameaga rasmi usiku wa kuamkia leo.

Washiriki hao walioagwa ni Evance Ernest, Khalid Iddy, Jabu Msangi, Mango Joshua na Jerome Benedicto kutokea Dar es Salaam.

Wengine ni Elisia Moshi, Christina Mbonde wa Mbeya na Ally Kala wa Mwanza na Gervas Miovela wa Arusha.

Majaji wa shindano hilo ambao ni Ritha Paulsen, Master Jay na Salama Jabir, ndio waliohusika katika mchujo huo.

“Kwa kuwa mwisho wa siku...

 

9 years ago

Daily News

Four exit 2015 BSS


Four exit 2015 BSS
Daily News
FOUR contestants in the Bongo Star Search (BSS) have been disqualified from the contest. They are Greylove Mwidunda, Sarah Jackson and Nassor Amry from Dar es Salaam and Mbeya's Bezalel Nataaniel. The quartet did not impress the judges as they ...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanne wapunguzwa BSS

BSSNA MWANDISHI WETU

WASHIRIKI kutoka Dar es Salaam, Greylove Mwidunda, Sarah Jackson na Nassor Amry pamoja na mshiriki kutoka Mkoa wa Mbeya, Bezalel Nataaniel, wameaga shindano la kusaka vipaji vya wanamuziki Bongo Star Search (BSS).

Kutolewa kwa washiriki hao wanne kumefanya shindano hilo libakiwe na washiriki 15 wanaoendelea na kambi.

Jaji Mkuu wa shindano hilo, Ritha Paulsen, alisema washiriki waliotolewa walikuwa na kasoro ndogondogo katika uimbaji ikilinganishwa na washiriki...

 

9 years ago

Habarileo

10 wachujwa shindano la BSS 2015

WASHIRIKI 10 mwishoni mwa wiki walishindwa kung’ara katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka huu na hivyo kuaga shindano hilo.

 

9 years ago

GPL

MSHINDI WA BSS AONGEZEWA SH. MIL 10

:Jaji Mkuu wa Mashindano ya Bongo Star Search ‘BSS’, Ritha Poulsen ‘Madam Ritha’, akielezea mipango ya  fainali ya mashindano hayo itakavyokuwa siku ya Ijumaa Oktoba 9 mwaka huu katika Ukumbi wa  King Solomon Hall uliopo eneo la Namanga Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mmoja wa washiriki wa shindano hilo, Nassib Fonabo, akiimba kwenye kikao hicho.… ...

 

9 years ago

GPL

PENNY AANGUA KILIO BSS

Mtangazaji matata wa Bongo Star Search (BSS 2015), Penniel Mungilwa ‘Penny’. Imelda Mtema MTANGAZAJI matata wa Bongo Star Search (BSS 2015), Penniel Mungilwa ‘Penny’ wiki iliyopita alijikuta akiangua kilio bila aibu baada ya majaji wa shindano hilo kutaja washiriki waliokuwa wakiaga. Akipiga stori Amani, Penny alifafanua sababu ya kushindwa kujizuia kuangua kilio ni kutokana na kwamba mara nyingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani