Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE KUWAKA MOTO DODOMA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda.
Stori: Mwandishi Wetu Bunge la Jamhuri ya Muungano linatarajia kuwaka moto leo litakapoanza vikao vyake ambapo mambo mbalimbali yatajadiliwa.Tayari Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imesema imepokea Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2014, unaopendekeza kuzifanyia marekebisho sheria 33, ambapo pia utawasilishwa katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu ya England viwanja kuwaka moto

Katika ligi kuu ya England mechi 12 zimechezwa usiku ,ambapo Tottenham wamewabamiza bila huruma Asteras Tripolis kwa magoli 5 -1.

 

10 years ago

BBCSwahili

Viwanja sita kuwaka moto Ligi England

Timu kumi na mbili zitajitupa Uwanja leo kuwania alama tatu muhimu katika ligi kuu ya England

 

11 years ago

Mwananchi

Moto kuwaka kikao cha Kamati ya Bajeti

Moto wa mjadala wa bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 sasa unahamia katika kikao cha ndani cha mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti kitakachofanyika kwa siku sita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi Kuu England, viwanja kuwaka moto

Viwanja mbalimbali vya soka vinatimua vumbi ligi kuu ya England Jumamosi na Jumapili

 

10 years ago

Mwananchi

Ligi Daraja la Kwanza viwanja kuwaka moto leo

Polisi Dar es Salaam inashuka uwanjani leo kuikabili Kimondo ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza utakaofanyika kwenye Uwanja wa Mabatini Pwani.

 

10 years ago

Michuzi

Moto wa burudani kuwaka ufukweni Coco Beach Pasaka

Katika kuadhimisha sikukuu ya Pasaka kwa furaha,wakazi wa jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake wataweza kupata burudani za aina mbalimbali katika tamasha kubwa la Pasaka litakalofanyika katika ufukwe wa maraha wa Coco beach chini ya maandalizi ya Vodacom Tanzania.
Akiongea juu ya tamasha hili kubwa ambalo hivi sasa limeanza kuwa gumzo ya jiji,Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu alisema mipango yote kuhusiana na tamasha hilo imekamilika kinachongojewa ni kuwasha moto wa...

 

10 years ago

GPL

MOTO WA BURUDANI KUWAKA COCO BEACH MWAKA MPYA

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya  watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la  wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam.Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili  litakalokutanisha magwiji wa bongo fleva ambalo limeanza kuwa gumzo la ...

 

9 years ago

Global Publishers

Jengo la Polisi Makao Makuu Dar, Lanusurika Kuwaka Moto

BREAKINGNEWS3Jengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kusababisha taharuki kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti.

Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia taarifa zetu.

 

9 years ago

Michuzi

HOUSTON TEXAS KUWAKA MOTO WA SIFA WAKATI WA SHEREHE ZA KRISMASI.

Kanisa la Agape (Agape Family Church) Houston Texas likiongozwa na Mtumishi Elisha limeandaa maadhimisho ya kipekee ya Krismasi yatakayofanyika Houston Texas kwa siku mbili yaani 24 na 25 Desemba 2015. Habari zaidi soma kipeperushi hapa chini. Inline image 1

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani