Viwanja sita kuwaka moto Ligi England
Timu kumi na mbili zitajitupa Uwanja leo kuwania alama tatu muhimu katika ligi kuu ya England
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Oct
Ligi kuu ya England viwanja kuwaka moto
Katika ligi kuu ya England mechi 12 zimechezwa usiku ,ambapo Tottenham wamewabamiza bila huruma Asteras Tripolis kwa magoli 5 -1.
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Ligi Kuu England, viwanja kuwaka moto
Viwanja mbalimbali vya soka vinatimua vumbi ligi kuu ya England Jumamosi na Jumapili
11 years ago
GPLLIGI KUU KUENDELEA LEO, NYASI KUWAKA KWENYE VIWANJA SITA
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo utaendelea kwenye viwanja vitano tofauti:
Kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora wenyeji Rhino Rangers watakuwa wenyeji wa maafande wenzao Mgambo Shooting ya Tanga. Vijana wa kocha Abdallah Kibadeni watabaki kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Chamazi kuwakabribisha Kagera Sugar ambao wanapigania kumaliza katika nafasi tatu za juu. Mtibwa Sugar ambayo bado ina hasira na...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Ligi Daraja la Kwanza viwanja kuwaka moto leo
Polisi Dar es Salaam inashuka uwanjani leo kuikabili Kimondo ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza utakaofanyika kwenye Uwanja wa Mabatini Pwani.
11 years ago
BBCSwahili24 Feb
Ligi Kuu England yazidi kupamba moto
Timu za Chelsea, Arsenal, Manchester City, Liverpool na Manchester United zapata ushindi mwishoni mwa wiki
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/06WphArD*MsI9ncb6YvBOfsul6vyOWYFN0n1-H7PYgsTWAAt5y8oMLXwPexDFIrRKljgZWWTdg-MhlmCLdaX0t81bJ3coE7N/makinda1.jpg?width=650)
BUNGE KUWAKA MOTO DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda.
Stori: Mwandishi Wetu Bunge la Jamhuri ya Muungano linatarajia kuwaka moto leo litakapoanza vikao vyake ambapo mambo mbalimbali yatajadiliwa.Tayari Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imesema imepokea Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2014, unaopendekeza kuzifanyia marekebisho sheria 33, ambapo pia utawasilishwa katika...
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Moto kuwaka kikao cha Kamati ya Bajeti
Moto wa mjadala wa bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 sasa unahamia katika kikao cha ndani cha mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti kitakachofanyika kwa siku sita.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f3Cpy2Teci3SgOfg*sph7CW7GhMhp-5nZW30ADCtCN2GoBeqPzBgxeMsxlL96d70tmRPk87rvxKWKbpNtkdZhtWs95coOrCk/20151.jpg?width=650)
MOTO WA BURUDANI KUWAKA COCO BEACH MWAKA MPYA
Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam.Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi. Tamasha hili litakalokutanisha magwiji wa bongo fleva ambalo limeanza kuwa gumzo la ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eUG6_-zkZ1w/VR5VazHewII/AAAAAAAHPE8/vlgvgYecouM/s72-c/unnamed.jpg)
Moto wa burudani kuwaka ufukweni Coco Beach Pasaka
![](http://1.bp.blogspot.com/-eUG6_-zkZ1w/VR5VazHewII/AAAAAAAHPE8/vlgvgYecouM/s1600/unnamed.jpg)
Akiongea juu ya tamasha hili kubwa ambalo hivi sasa limeanza kuwa gumzo ya jiji,Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu alisema mipango yote kuhusiana na tamasha hilo imekamilika kinachongojewa ni kuwasha moto wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania