Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIGI KUU KUENDELEA LEO, NYASI KUWAKA KWENYE VIWANJA SITA

MZUNGUKO wa pili wa Ligi  Kuu Tanzania Bara leo utaendelea kwenye viwanja vitano tofauti:
Kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora wenyeji Rhino Rangers watakuwa wenyeji wa maafande wenzao Mgambo Shooting ya Tanga. Vijana wa kocha Abdallah Kibadeni watabaki kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Chamazi kuwakabribisha Kagera Sugar ambao wanapigania kumaliza katika nafasi tatu za juu. Mtibwa Sugar ambayo bado ina hasira na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Viwanja sita kuwaka moto Ligi England

Timu kumi na mbili zitajitupa Uwanja leo kuwania alama tatu muhimu katika ligi kuu ya England

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi Kuu England, viwanja kuwaka moto

Viwanja mbalimbali vya soka vinatimua vumbi ligi kuu ya England Jumamosi na Jumapili

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu ya England viwanja kuwaka moto

Katika ligi kuu ya England mechi 12 zimechezwa usiku ,ambapo Tottenham wamewabamiza bila huruma Asteras Tripolis kwa magoli 5 -1.

 

10 years ago

Mwananchi

Ligi Daraja la Kwanza viwanja kuwaka moto leo

Polisi Dar es Salaam inashuka uwanjani leo kuikabili Kimondo ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza utakaofanyika kwenye Uwanja wa Mabatini Pwani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania kuendelea leo

Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea tena leo kwa timu 14 kujitupa katika viwanja saba nchini.

 

11 years ago

GPL

Ligi Kuu Bara kuendelea leo

Kwenye Uwanja wa taifa, mabingwa watetezi Yanga watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Maafande wa Ruvu Shooting, ikumbukwe katika mzunguko wa kwanza vijana wa Jangwani walifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0. Mechi zingine Kagera Sugar ipo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Kaitaba wakikaribisha Rhino Rangers, Coastal Union  ya Tanga itakuwa na shughuli pevu dhidi ya Mbeya City. Maafande wa JKT Oljoro wapo nyumbani wakiisubiri...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo

Ligi Kuu Tanzania bara Itaendelea tena leo katika viwanja saba ikiwa ni michezo ya mzunguko wa pili

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania kuendelea

Azam FC itapepetana na Mabingwa wapya wa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu, timu ya Young Africans.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani