Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Ukraine lamtimua Yanukovych

Wabunge wa Ukraine wataka rais aondoke na wataja tarehe ya uchaguzi mpya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Rais Yanukovych wa Ukraine kukamatwa

Ukraine imetoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo Victor Yanukovych

 

9 years ago

BBCSwahili

Kanisa katoliki lamtimua askofu senge

Siku moja kabla mkutano wa Vatikani wa maaskofu wa kanisa Katoliki kuhusu familia, kasisi mmoja wa daraja ya juu, amedhihirisha kuwa yeye ni kati ya watu wanaopendelea uhusiano wa jinsia moja, na sasa ana mpenzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge la US lataka Ukraine ipewe Silaha

Wakuu wa bunge la wawakilishi Marekani wamemwandikia barua Rais Obama wakimtaka kutoa silaha kwa Ukraine ili kupambana na waasi

 

9 years ago

BBCSwahili

Maandamano yazuka nje ya bunge- Ukraine

Afisa mmoja auawa na wengine kujeruhiwa Ukraine baada ya wabunge kuipa eneo linalothibitiwa na waasi mamlaka ya kijitawala

 

11 years ago

BBCSwahili

Bunge la Ukraine kujadili Serikali mpya

Bunge la Ukraine linatarajia kujadili kuhusu upatikanaji wa Serikali ya mpya nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Viktor Yanukovych aomba Urusi kumlinda

Baada ya kutoweka mwishoni mwa wiki, aliyekuwa Rais wa Ukraine Viktor Yanukoovich, anasemekana kuwa nchini Urusi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani