Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viktor Yanukovych aomba Urusi kumlinda

Baada ya kutoweka mwishoni mwa wiki, aliyekuwa Rais wa Ukraine Viktor Yanukoovich, anasemekana kuwa nchini Urusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Rais Yanukovych wa Ukraine kukamatwa

Ukraine imetoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo Victor Yanukovych

 

11 years ago

BBCSwahili

Bunge la Ukraine lamtimua Yanukovych

Wabunge wa Ukraine wataka rais aondoke na wataja tarehe ya uchaguzi mpya

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kumlinda mwekezaji wa hisa

Mwekezaji kabla ya kufanya uwekezaji inatakiwa awe na uhakika kwamba fedha ambayo atafanyia uwekezaji itakuwa salama. Ni kwa namna gani mwekezaji katika Masoko ya Mitaji na Dhamana analindwa ndiyo kitu ambacho nitaongelea katika makala haya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Ilemela atuhumiwa kumlinda mwekezaji

UONGOZI wa kiwanda cha kutengeneza nondo cha Nyakato Steel Mills (NSM), na uongozi wa Serikali ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, umeingia kwenye mgogoro na wananchi wapatao 200, wanaodai kutaka...

 

10 years ago

Habarileo

Uzinduzi wa kitabu cha kumlinda msichana Desemba 21

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Gide, jijini Dar es Salaam limeandaa kitabu maalumu kuhusu msichana ambacho pamoja na masuala mengine, kinalenga kumwepusha na vishawishi na kumpotezea dira ya maisha.

 

9 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa Kimila wapitisha Azimio la kumlinda Mtoto wa Kike

IMG_1623

Pichani juu na chini ni baadhi ya viongozi wa mila (Laigwanan na Laiboni) na akina mama mashuhuri (Ngaigwanan) wilayani Lolilondo wakisoma na kujadili azimio la pamoja la kumlinda mtoto wa kike kabla ya kulipitisha na kusaini wakati wa kongamano kubwa la siku mbili lililofanyika katika ofisi za halmashauri ya wilaya Ngorongoro, jijini Arusha.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

Na Modewji blog team

VIONGOZI wa kimila wa jamii ya Kimaasai na wanawake mashahuri wamepitisha Azimio la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikosi cha kumlinda rais chavunjwa Burkina Faso

Serikali ya Burkina Faso imevunja kikosa cha kumlinda rais ambacho kiliwashika mateka mawaziri wakati wa majaribio ya mapinduzi yaliyofeli.

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO‏

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala, Nora Mzeru. Naibu...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI DK.PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO‏

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani