Viongozi wa Kimila wapitisha Azimio la kumlinda Mtoto wa Kike
Pichani juu na chini ni baadhi ya viongozi wa mila (Laigwanan na Laiboni) na akina mama mashuhuri (Ngaigwanan) wilayani Lolilondo wakisoma na kujadili azimio la pamoja la kumlinda mtoto wa kike kabla ya kulipitisha na kusaini wakati wa kongamano kubwa la siku mbili lililofanyika katika ofisi za halmashauri ya wilaya Ngorongoro, jijini Arusha.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Na Modewji blog team
VIONGOZI wa kimila wa jamii ya Kimaasai na wanawake mashahuri wamepitisha Azimio la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...
5 years ago
MichuziWABUNGE WAPITISHA AZIMIO KUMPONGEZA DK.MAGUFULI, SPIKA JOB NDUGAI KWA KULIONGOZA VEMA BUNGE LA 11
WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja wamepiga kura ya kupitisha Azimio la kumpongeza Rais Dk.John Magufuli kwa kufanikisha shughuli za Serikali kuhamia Dodoma ambapo wamekubaliana hakutakuwa na mtu mwingine yoyote anayeweza kuja kuiondoa Serikali na shughuli zake Dodoma.
Wakati Azimio la pili ambalo wabunge wamelipitisha linahusu kumpongezi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kutokana na mafanikio ambayo yamepatikana kwenye Bunge la...
5 years ago
CCM BlogWABUNGE WAPITISHA AZIMIO KUMPONGEZA DK.MAGUFULI, SPIKA JOB NDUGAI KWA KULIONGOZA VEMA BUNGE LA 11
WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja wamepiga kura ya kupitisha Azimio la kumpongeza Rais Dk.John Magufuli kwa kufanikisha shughuli za Serikali kuhamia Dodoma ambapo wamekubaliana hakutakuwa na mtu mwingine yoyote anayeweza kuja kuiondoa Serikali na shughuli zake Dodoma.
Wakati Azimio la pili ambalo wabunge wamelipitisha linahusu kumpongezi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kutokana na mafanikio ambayo yamepatikana kwenye Bunge la...
10 years ago
StarTV06 Apr
Viongozi wa kimila Mbozi waazimia kuwadhibiti waharibifu vyanzo vya maji.
Na Amina Saidi, Mbeya.
Viongozi wa kimila katika Kata za Hezya na Nyimbili wilayani Mbozi mkoani Mbeya wameamua kuisaidia Serikali katika kuwadhibiti waharibifu wa vyanzo vya maji na mazingira kwa kutumia kinga na adhabu za kimila.
Hatua hiyo imedaiwa kuwa itasaidia kuyaweka mazingira katika uasili wake na hivyo kuihakikishia jamii upatikanaji endelevu wa huduma ya maji safi na salama.
Katika mahojiano na Star Tv muda mfupi baada ya uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji unaovihusisha vijiji...
10 years ago
VijimamboMPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Raha ya kusomesha mtoto wa kike
10 years ago
GPLMKWERE APATA MTOTO WA KIKE