Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la 11 lijitofautishe na mabunge yaliyotangulia

Wakati wananchi wengi wakisubiri kwa hamu kubwa kuona utendaji kazi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililozinduliwa mjini Dodoma na Rais John Magufuli yapata wiki mbili zilizopita, Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai amewaahidi wananchi watarajie kuona Bunge litakalokuwa na mabadiliko, tofauti na mabunge mengine yaliyotangulia tangu nchi yetu ipate uhuru miaka 54 iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA KUFUNGUA SEMINA YA 24 YA CHAMA CHA MABUNGE WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA (CPA) KESHO, DAR ES SALAAM,

Spika wa Bunge kesho tarehe 26 Mei 2014 atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Semina ya 25 ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola ambayo itafanyika hapa nchini kuanzia tarehe 25/05/2014 mpaka 31/05/2014.   emina hiyo ambayo ni mfululizo wa hatua za mafunzo na kubadilishana uzoefu kwa Wabunge wa nchi wanachama wa CPA itahudhuriwa na Wabunge zaidi ya 60 toka nchi 18 ambazo ni Australia, Ghana, Seychelles, Kenya Uganda na Nigeria.  Nchi nyingine ni pamoja na Sri Lanka, Bangladesh,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mabunge 2 ya Libya kutatua mzozo wa kisiasa

Mabunge mawili yanayopingana ya Libya, yamefikia makubaliano ya awali, yanayolenga kutatua msukosuko wa kisiasa nchini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabunge Jumuiya ya Madola kuijadili Afrika

Mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika yanakutana Arusha kuanzia leo kujadili utekelezaji wa misingi mikuu ya Jumuiya hiyo ambayo ni utawala bora, demokrasia na haki za binadamu.

 

10 years ago

Habarileo

‘Dk Shija alihimiza demokrasia ya vyama ndani ya mabunge’

Dk William Shija enzi za uhai wakeSPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amewataka Watanzania kutambua kuwa uwepo wa siasa za vyama vingi nchini, si uadui bali ni chachu ya maendeleo.

 

9 years ago

Michuzi

MASPIKA WA MABUNGE DUNIANI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda akiwa  katika Mkutano wa Kumi wa  Maspika  Wanawake uliofanyika kwa siku mbili  hapa  Umoja wa Mataifa, Mkutano wa Maspika Wanawake, umetangulia Mkutano wa Nne wa Maspika zaidi ya 180 unaoza leo jumatatu hapa Umoja wa Mataifa.Sehemu ya  Wajumbe wa Mkutano wa Kumi wa Maspika  wanawake,   mkutano  uliojadili mbinu za kuchagiza  usawa wa kijinsia, miaka 20 baada ya Beijing pamoja na  kuhakikisha utekelezaji  wa malengo 17  ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MASPIKA WA MABUNGE DUNIANI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda akiwa  katika Mkutano wa Kumi wa  Maspika  Wanawake uliofanyika kwa siku mbili  hapa  Umoja wa Mataifa, Mkutano wa Maspika Wanawake, umetangulia Mkutano wa Nne wa Maspika zaidi ya 180 unaoza leo jumatatu hapa Umoja wa Mataifa.Sehemu ya  Wajumbe wa Mkutano wa Kumi wa Maspika  wanawake,   mkutano  uliojadili mbinu za kuchagiza  usawa wa kijinsia, miaka 20 baada ya Beijing pamoja na  kuhakikisha utekelezaji  wa malengo 17  ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO

Maspika wa Mabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Maspika hao wamepitisha tamko ambalo linatambua na kupokea malengo na ajenda mpya za maendeleo endelevu, na kuyataka mabunge kuhakikisha utekelezaji malengo hayo yanayochukua nafasi ya MDGs. Mhe Ann Makinda ni wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele.Mhe. Spika akiwa na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, wakati alipofika ...

 

10 years ago

Michuzi

Mabunge Duniani yanawajibu wa kulinda na kutetea haki za Binadamu: Kashililah

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas kashililah akisisitiza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka taasisi inayojishughulisha na masuala ya kibunge ya Parliamentarians for Global Action Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Ujumbe huo upo kwenye ziara yao ya kikazi kutembelea kila Bunge Duniani na kueleza malengo na mipango yao hususani kuangalia namna wanavyoweza kushirikiana na wabunge kutatua baadhi ya masuala yahusuyo haki za Binadamu. Kulia ni Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Ndg. John...

 

9 years ago

Michuzi

MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU

Na Mwandishi Maalum , New York Maspika wa Mabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamemaliza mkutano wao wa Nne kwa kupitisha tamko ambalo pamoja na mambo mengine, linayataka Mabunge kuhakikisha yanasimamia na kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa Malengo na Ajenda Mpya za Maendeleo Endelevu ( Ajenda 2030). Akihitimisha mkutano huo wa Maspika ambao hufanyika kila baada ya Miaka mitano, Rais wa Chama cha Kimataifa cha Mabunge ( IPU) Saber Chowdhur amesema, Maspika na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani