Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki limefunguliwa leo jijini Dar

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) la kwanza kufanyika Dar es Salaam, tangu utaratibu wa kufanyika kwa bunge hilo kwa mzunguko kwa kila nchi mwanachama wa Jumuiya. Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa akizungumza kwenye ufunguzi wa bunge hilo. Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda (kushoto) akiwa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa wakati wa ufunguzi wa vikao vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki limefunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam

1

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) la kwanza kufanyika Dar es Salaam, tangu utaratibu wa kufanyika kwa bunge hilo kwa mzunguko kwa kila nchi mwanachama wa Jumuiya.

2

Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa akizungumza kwenye ufunguzi wa bunge hilo.

3

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda (kushoto) akiwa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Margaret Zziwa wakati wa ufunguzi wa vikao vya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wabunge wa bunge Jumuiya ya Afrika Mashariki watembelea bandari ya Dar es salaam

DIGITAL CAMERA

Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Dkt. Margaret  Zziwa (wa pili kulia) akipewa maelezo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya TICS Paul Wallace namna kampuni yake inavyofanyakazi ya kupakua na kupakia mizigo katika bandari ya Dar es salaam wakati wa ziara ya Wabunge wa bunge hilo walipotembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jana jijini Dar es salaam.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

02 (2)

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Jumuiya ya Afrika Mashariki iko makini katika kutekeleza...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA DHARULA WA 29 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAENDELEA LEO JIJINI ARUSHA

Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiwa katika kikao cha Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo. Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo katikati na Naibu Katibu Wizara ya Fedha Profesa Adoft F. Mkenda pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa kwanza kushoto ndugu Amatius C. Msole...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Takwimu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Wafanyika Jijini Dar.

Mkurugenzi MkuuwaOfisiyaTaifayaTakwimu (NBS),kutokaTanzania  Dkt. Albina Chuwa akifunguamkutanowaWakurugenzinaWatalaamwaTakwimukutokanchiWanachamawaJumuiyayaAfrikaMasharikikujadilimausualambalimbaliyaTakwimuleojijini Dar es salaam.BaadhiyaWashirikiwaMkutanowaWataalamwaTakwimuwanchiWanachamawaJumuiyayaAfrikaMasharikiwakifuatiliamausualambalimbaliyawakatiwaMkutanohuoleojijini Dar es salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Rwanda  Bw. Yusuf Murangwa akitoa mchango  wake kuhusu umuhimu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Takwimu wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wafanyika jijini Dar Es Salaam

NBS - 1

Mkurugenzi  Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), kutoka Tanzania  Dkt. Albina Chuwa akifungua mkutano wa Wakurugenzi na Watalaam wa Takwimu kutoka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mausuala mbalimbali ya Takwimu leo jijini Dar es salaam. NBS -2 Mkurugenzi Mkuu w aOfisi ya Takwimu Rwanda  Bw. Yusuf Murangwa akitoa mchango wake kuhusu umuhimu wa ushirikiano wa matumizi ya Takwimu baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki leo jijini Dar es salaam. NBS-3 Mkurugenzi Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE JIJINI DAR

Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam leo juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu unaotaraji kuanza leo katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa na Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa.  Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi...

 

10 years ago

Michuzi

Vikavo vya Bunge la Afrika Mashariki vyaahirishwa kabla ya jijini dar

Bunge La Afrika Mashariki Lilifikia Tamati Katika Vikao Vyake Vya Dar Es Salaam Kwa Kuahirishwa Kabla Ya Muda Wake Kutokana Na Akidi Kutotimia Kufuatia Wabunge Wa Burundi Na Rwanda kutoka nje na Wengine Kutokuwepo.
 Sheria Inataka Ili Kikao Kiendelee Lazima Bungeni Kuwe Na Nusu Ya Wabunge Wa Kuchaguliwa Na Angalau Wabunge Watatu Kutoka Kila Nchi Mwananchama. 
Kikao Kiliahirishwa Baada Ya Rwanda Kuwa Na Mbunge Mmoja Na Burundi Wawili. Hii Ilikua Mara Ya Pili Baada Bunge Hilo Kuahirishwa...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani