Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Katiba laelezwa elimu isiwe sifa ya ubunge

Livingstone LusindeMBUNGE wa Mtera Livingstone Lusinde ametetea hoja za wabunge wanaotaka sifa ya kugombea ubunge iwe kujua kusoma na kuandika, kwa maelezo kuwa asilimia kubwa ya wananchi wengi wa Tanzania hawakupata elimu ya sekondari hivyo katiba haifai kuwabagua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wataja sifa za Mwenyekiti Bunge la Katiba

MBUNGE wa Kahama, James Lembeli, amesema Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba anatakiwa kuwa ni mtu mwenye uadilifu na asiyekuwa na makundi. Akizungumza na Tanzania Daima juzi kwa njia ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Bunge la Katiba wawe na sifa

Rais Jakaya Kikwete kwa mara nyingine anakabiliwa na mtihani mgumu, ambapo wiki ijayo atateua na kutangaza majina ya wajumbe 201 kutoka katika makundi mbalimbali ambayo yataungana na wajumbe wengine 434 kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar kuunda Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Bunge laelezwa ‘magunia’ yalivyobeba fedha IPTL

Wabunge wakifuatilia mjadala bungeni mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).WATU mbalimbali na viongozi wa umma waliofaidika na fedha za akaunti ya Tegeta Escrow ya Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, wametakiwa kurejesha fedha hizo, kufilisiwa mali zao na kushitakiwa mahakamani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Wajumbe wa Bunge la Katiba hawana sifa

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioteuliwa hivi karibuni wengi wao hawana sifa ya kuingia katika bunge hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kwa...

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Elimu yahitajika baada ya Bunge Maalum la Katiba

BUNGE Maalum la Katiba limepitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kwa wingi wa kura za ndiyo za Wajumbe wa Bunge hilo, Rais Jakaya Kikwete atakabidhiwa rasimu hiyo ambayo ni Katiba Inayopendekezwa....

 

11 years ago

Mwananchi

Laiti fedha za Bunge la Katiba zigetumika katika sekta ya elimu...

>Kuanzia Februari 18 hadi Aprili 25 wajumbe wapatao 629 wa Bunge Maalumu la Katiba walikutana mjini Dodoma kwa lengo la kupitia Rasimu ya Pili ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Katiba mpya isiwe ugomvi

RAIS Jakaya Kikwete amesema Katiba mpya haitapatikana kwa ngumi na mateke na wala si ugomvi, bali itapatikana kwa ushawishi wa hoja na kura.

 

10 years ago

GPL

WATAKA KATIBA ISIWE CHANZO CHA MGOGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho. Na Mwandishi Wetu
WANANCHI wa kada mbalimbali nchini, wamewataka wanasiasa kuacha kutumia mchakato wa Katiba Mpya Inayopendekezwa kusababisha vurugu, migogoro na machafuko kwani nafasi ya kuendeleza amani na utulivu uliopo bado ipo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam, baadhi ya wadau wamesema dalili zinaonyesha kuwa huenda kukawa na hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani