BUNGE LA KATIBA LASITISHWA KWA MUDA BAADA YA ZOMEA ZOMEA YA WAJUMBE
![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3CkPMm6W9Rrrw7PMGbsEVSB07*QUPevFTuwQlgu14dOTjV-AVuHi-DInzPfuJislNm-QxiO7iiaqhhiee**kEpS/BREAKINGNEWS.gif)
Shughuli za Bunge Maalum la Katiba zimeshindwa kuendelea jioni hii ambapo Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba alitakiwa kuwasilisha Rasimu ya Katiba kwenye Bunge hilo. Kabla hajaanza, wajumbe walianza kuzomea wengine wakipiga kelele ndipo Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge hilo, Samuel Sitta alipoamua kusitisha shughuli za bunge mpaka… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Kampeni ‘zomea viongozi wazembe’ yaja
WATANZANIA wametakiwa kuanzisha kampeni ya nguvu ya umma kuwazomea viongozi wanaotumia madaraka yao kuuza rasilimali za nchi kwa wageni, huku wazawa na taifa likiendelea kuishi kwenye giza la umaskini. Wito huo umetolewa na...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Kamati #Bunge la #Katiba zaongezewa muda, wajumbe waonesha wasiwasi [VIDEO]
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TGfB4SnXNfo/UyVnLFMAkGI/AAAAAAAFT7k/-Tz_4mnM7WQ/s72-c/unnamed+(23).jpg)
wajumbe wa bunge maalum wahitimisha zoezi la kuapa kwa muda uliopangwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-TGfB4SnXNfo/UyVnLFMAkGI/AAAAAAAFT7k/-Tz_4mnM7WQ/s1600/unnamed+(23).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fr4oCJ66EEk/UyVnK0D_hjI/AAAAAAAFT7c/XASx6aFTyJ0/s1600/unnamed+(24).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-wyztZuzeng4/UyVnLFL8NHI/AAAAAAAFT7g/hIyjDqZPvVs/s1600/unnamed+(25).jpg)
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Ujumbe kwa wajumbe wa Bunge la Katiba
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba keshokutwa watakutana mjini Dodoma kwa ajili ya kuanza kwa Bunge hilo ambalo linatarajiwa kudumu kwa takriban siku 70 au 90 kwa mujibu wa sheria...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Wajumbe Bunge la Katiba kuchangia kwa makundi
11 years ago
Michuzi15 Feb
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Ushauri wa #Kikwete kwa wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]
11 years ago
Michuzi13 Feb